*Kuna nyimbo nimesikiliza leo kaimba mrisho mpoto ft mbosso_-_TAUSI
kwa mlio sikiliza vipi kuna chochote kinacho leta ule mfumo wake wake wa zamani wa kuwa chana viongozi kwa mafumbo?*
Nadhani anamaanisha pale Magogoni kuna Tausi mpya tofauti na wale waliozawadiwa kwa Uhuru Kenyatta. Mwonekano wa nje ni urembo na ulimbwende, but ukweli na uhalisia vinahuzunisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.