Of all the people, Mrisho Gambo we know? Gambo shut up. You are one of the Double StandardsMbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa
Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge huyo amesema licha ya dhamira ya Urasimishaji kuwa nzuri, zoezi hilo ni 'kichefuchefu'. Ameeleza, mambo hayo hayatoi sura nzuri kwa Serikali na suala la urasimishaji litapunguza umaarufu alionao Waziri William Lukuvi kwa Wananchi licha ya kwamba anafanya kazi kwa weledi na watendaji wake wanaendana na kasi yake
mama tulia na Avatar moja unanichanganya.Haya sasa kumekuchaaaah, yajayo yanashangaza zaidi.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ni kama aliota. Mfano asingegombea ubunge ili abaki RC awamu hii angetoboa?Huyu jamaa ndo amekumbuka leo,amesahau alivyokuwa akiwanyanyasa upinzani akiwa mkuu wa mkoa.
Atulie tu hii huitwa kutesa kwa zamu.
Huyu chali hakuna alichoongea hapo.Ni kama aliota. Mfano asingegombea ubunge ili abaki RC awamu hii angetoboa?
Ardhi ni mali ya serikali, sasa huu urasimishaji inauaje ufanywe na makampuni(Private sector) ...kuna mambo mengi ambayo yataibukq hapo baadae we tu subirie tu...Naungana na Gambo. Hakika suala la urasimishaji limemshinda Lukuvi, ni "kichefu chefu" kweli maana wananchi tuna struggle sana kuchangishana pesa zinaishia kwa makampuni tapeli. Kwa nini mwananchi abebeshwe mzigo wa kujipimia halafu Serikali isubirie tu kukusanya kodi.?? Lukuvi is more on TV than reality
Na wanakusanya fedha za uhakika kweli kweli.Ardhi ni mali ya serikali, sasa huu urasimishaji inauaje ufanywe na makampuni(Private sector) ...kuna mambo mengi ambayo yataibukq hapo baadae we tu subirie tu...
uzuri wa ngoma uingie uchezeOf all the people, Mrisho Gambo we know? Gambo shut up. You are one of the Double Standards
Kwanza tumuulize yeye alichaguliwa na nani? bila juhudi za NEC na Mahera anagekuwa hapo? aache kutapika.Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa
Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge huyo amesema licha ya dhamira ya Urasimishaji kuwa nzuri, zoezi hilo ni 'kichefuchefu'. Ameeleza, mambo hayo hayatoi sura nzuri kwa Serikali na suala la urasimishaji litapunguza umaarufu alionao Waziri William Lukuvi kwa Wananchi licha ya kwamba anafanya kazi kwa weledi na watendaji wake wanaendana na kasi yake
Uzuri waliokufa hawafufukimungu wao akifufuka atoamini walivyomgeuka
Alikuwa na dharau sana maana hata mawaziri hakuwasikiliza,akina prof.Magembe.Ni kama aliota. Mfano asingegombea ubunge ili abaki RC awamu hii angetoboa?
Sasa kama anafanya kazi kwa weledi bado ana lalamika kitu gani? mpuuzi huyoMbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa