Mrisho Gambo: Tanzania kuna double standard, yapo maeneo maamuzi yanafanyika haraka kulimo mengine

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa

Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge huyo amesema licha ya dhamira ya Urasimishaji kuwa nzuri, zoezi hilo ni 'kichefuchefu'. Ameeleza, mambo hayo hayatoi sura nzuri kwa Serikali na suala la urasimishaji litapunguza umaarufu alionao Waziri William Lukuvi kwa Wananchi licha ya kwamba anafanya kazi kwa weledi na watendaji wake wanaendana na kasi yake
 
Of all the people, Mrisho Gambo we know? Gambo shut up. You are one of the Double Standards
 
Naungana na Gambo. Hakika suala la urasimishaji limemshinda Lukuvi, ni "kichefu chefu" kweli maana wananchi tuna struggle sana kuchangishana pesa zinaishia kwa makampuni tapeli. Kwa nini mwananchi abebeshwe mzigo wa kujipimia halafu Serikali isubirie tu kukusanya kodi.?? Lukuvi is more on TV than reality
 
Double standards,
Bila shaka ameizungumzia Dodoma na Kanda ya ziwa.

Awamu ya JPM,
mikoa ya kaskazini palisusiwa kabisa
 
Huyu jamaa ndo amekumbuka leo,amesahau alivyokuwa akiwanyanyasa upinzani akiwa mkuu wa mkoa.
Atulie tu hii huitwa kutesa kwa zamu.
 
Naungana na Gambo. Hakika suala la urasimishaji limemshinda Lukuvi, ni "kichefu chefu" kweli maana wananchi tuna struggle sana kuchangishana pesa zinaishia kwa makampuni tapeli. Kwa nini mwananchi abebeshwe mzigo wa kujipimia halafu Serikali isubirie tu kukusanya kodi.?? Lukuvi is more on TV than reality
Ardhi ni mali ya serikali, sasa huu urasimishaji inauaje ufanywe na makampuni(Private sector) ...kuna mambo mengi ambayo yataibukq hapo baadae we tu subirie tu...
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa

Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge huyo amesema licha ya dhamira ya Urasimishaji kuwa nzuri, zoezi hilo ni 'kichefuchefu'. Ameeleza, mambo hayo hayatoi sura nzuri kwa Serikali na suala la urasimishaji litapunguza umaarufu alionao Waziri William Lukuvi kwa Wananchi licha ya kwamba anafanya kazi kwa weledi na watendaji wake wanaendana na kasi yake
Kwanza tumuulize yeye alichaguliwa na nani? bila juhudi za NEC na Mahera anagekuwa hapo? aache kutapika.
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa

Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge huyo amesema licha ya dhamira ya Urasimishaji kuwa nzuri, zoezi hilo ni 'kichefuchefu'. Ameeleza, mambo hayo hayatoi sura nzuri kwa Serikali na suala la urasimishaji litapunguza umaarufu alionao Waziri William Lukuvi kwa Wananchi licha ya kwamba anafanya kazi kwa weledi na watendaji wake wanaendana na kasi yake
Sasa kama anafanya kazi kwa weledi bado ana lalamika kitu gani? mpuuzi huyo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom