Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Kama aliziona hizo Condom na Lotion ni dhahiri kishaliwaAccording to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Kama aliziona hizo Condom na Lotion ni dhahiri kishaliwaAccording to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
😅😅 jf raahaaaNa ile mijicho yake sijui itakuwaje pale lotion na salama vikifanikiwa kutumiwa kwake 🤣🤣
Daah Hawa jamaa sio watu wazuri🙆🙆🙆Kama aliziona hizo Condom na Lotion ni dhahiri kishaliwa
Condom muhimu, wanaogopa maradhi.Wanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Aiseeh hii issue ntaifuatilia untill the endGodbless ndiyo kasambaza maneno kuwa kuna watu wanamsaka Gambo wakiwa na mafuta na condom???
😅😅😁😁🙆🙆🙆🙅🙅🙅According to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
🙆🙆🙆😅😅😅Yaani wana lotion na condom😁😁,hili sio suala la kimapenzi kweli?, Gambo aseme vizuri, usikute kala pesa za watu hataki kulipia🙆♀️
Hii kaliii🙊🙊Mimi hiyo kuitwa naona tutaijadili baadae lakini kwanza....
Kwanini mafuta (lotion na hii itakuwa ilikuwa KY labda aliona kwa mbali akadhani ni lotion ya kawaida) na condom na siyo bunduki kama tulivyozoea?
Hahah jamaa wana drama haijapata kutokea.
Hii stair hii hatareeYatakuwa mambo yao ya mapenzi tu
Huenda Mambo ya kuchungulia dilishani kabra huja fungua get mkuuKwanza alijuaje kama hao Jamaa walibeba.Condom na Lotion ?
Walimuonesha ?, Alizionaje ?
Huyu kishatendwa sio bure
🙊🙊 hapana mwee kijani hii mbinu waifute Bora watumie mijegeje🙈🙈Kulainisha uingiaji na kujikinga na magonjwa🤣🤣🤣
Walawiti wanajali afya zao na kumjali Gambo pia. Hawataki aumie ndio maana wanatembea na kilainishi.
Serekali = Serikali. Pita hapo MEMKWA ujifunze kuandika.Serekali ingekuwa inajali taratibu kwa kiwango hicho, tusingeona mabehewa used, maana serekali haitakiwi kununua vitu used.
Usanii huo usiuaminiMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Nabii, muulize jiwe.Ni jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana