Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,140
- 127,088
Serekali = Serikali. Pita hapo MEMKWA ujifunze kuandika.
Punguzo utoto we ajuza.
Serekali = Serikali. Pita hapo MEMKWA ujifunze kuandika.
Huyo wangempaka hayo mafuta ang'ae vizuriMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Ili wamtoe malindaWanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Watu wanataka wamle katunduMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Hapo hakuna siasa ni mambo ya mapenzi tu kala vya watu halafu anagoma kutoa mzigoSiasa ndivyo zilivyo...
Ina maana wanataka kumbikiri bila kupata maradhi, au wamenasa majibu yake ya mdudu umeme.Wanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Sawa Dada TindoPunguzo utoto we ajuza.
Tunachokijua: Hapo anaogopa kifiro[emoji1787]Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Hivi wewe hujui kazi ya kilainishi?Tanzania nchi ya ajabu kweli kweli. lotion na condom zimekuwa silaha za kuogopewa?
Kilainishi gani? Vipo vya aina nyingi na vinatumika sehemu mbalimbali. Anyways, siyo kwamba sielewi mchezo mzima, ila ni jambo la kushangaza. BTW mtu anayedhamiria kufanya jambo la kinyama kama hilo atahangaika kutumia kilainishi?Hivi wewe hujui kazi ya kilainishi?
Hiyo inaitwa fujo isiyoleta maumivu,ila ukweli jamaa kaliwaKilainishi gani? Vipo vya aina nyingi na vinatumika sehemu mbalimbali. Anyways, siyo kwamba sielewi mchezo mzima, ila ni jambo la kushangaza. BTW mtu anayedhamiria kufanya jambo la kinyama kama hilo atahangaika kutumia kilainishi?
Ingekuwa ng'ambo ile wangesema amejiwekea condomMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]falaa sanaaAccording to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Kuliwa mtungo na njemba saba siyo mchezo lazima akili zihame,Mbona Mrisho Gambo ni kama amechanganyikiwa ?
Usikute Magu huko aliko anakutana na dhahma huku akiulizwa, tulipomtuma Lema akuambie usijifananishe na Mungu la sivyo utakufa kwa nini ulidharau?Magu na Sabaya hawatamsahau kwa neno la unabii