monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,633
Noma sana!
Isije ikawa kagonga mke wa mtuu [emoji1]According to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Wanataka wamfuturuYaani wanamsaka na Condom na Lotion ili wamfanyeje Jameni??
Ukute ashatatuliwa tayari siku nyingiHayo majamaa yakishamtatua hakika hatasema.
Lissu alishawahi kutaja hadi namba za magari lakini hawakufanya loloteNi jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana
Na ile mijicho yake sijui itakuwaje pale lotion na salama vikifanikiwa kutumiwa kwake 🤣🤣Wanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Kulainisha uingiaji na kujikinga na magonjwa🤣🤣🤣Condom na roshen what for please 😅😅😅
Ponjolo ANASEMA"DUNIA DULANGE"Dunia inazunguka hii
Silaha za maangamizi hizo!!! 😭Tanzania nchi ya ajabu kweli kweli. lotion na condom zimekuwa silaha za kuogopewa?
Serekali ingekuwa inajali taratibu kwa kiwango hicho, tusingeona mabehewa used, maana serekali haitakiwi kununua vitu used.Wewe jamaa ni mjinga mno. Hata zingekuwa kwenye chumba kimoja lazima taratibu za kikazi zifuatwe. Serikali inafanya kazi kwa maandishi. Au ulidhani serikalini ni kama kijiweni kwenu?
Yatakuwa mambo yao ya mapenzi tuCondom na roshen what for please [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo ndiyo michezo yake hapo ujue mkewe kamshtukia anataka apate utetezi kuwa wamembaka siyo kwa ridhaa yakeNa ile mijicho yake sijui itakuwaje pale lotion na salama vikifanikiwa kutumiwa kwake [emoji1787][emoji1787]
Kwanza alijuaje kama hao Jamaa walibeba.Condom na Lotion ?Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
The fact kuwa kaona Ndom na Lotion, it's obviously kishatatuliwaHayo majamaa yakishamtatua hakika hatasema.
Na Gambo kasema Walinzi wanatembea na Ndom na LotionDC amesema Gambo anapewa Ulinzi wa Serikali