Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Wajitahidi wamsaidie atulieAccording to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Wajitahidi wamsaidie atulieAccording to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Yes ulinzi wa serikali dhidi ya serikali inayomsaka ikiwa na mafuta na box la condom.DC amesema Gambo anapewa Ulinzi wa Serikali
Tayari, hivi sasa Gambo amekuwa lainiii, anatembea kwa kujimwagaHiyo lotion imemaliza kazi iliyokusudiwa?
[emoji38][emoji38][emoji38]Yes ulinzi wa serikali dhidi ya serikali inayomsaka ikiwa na mafuta na box la condom.
Lotion haina jina? Ili tuchukue tahadhari tukiona pahaliWanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Tena Kwa DC maajabu ya9 ya dunia hayaMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Vipi yule aliyesema WAZURI HAWAFI?Ni jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana
Tanzania nchi ya ajabu kweli kweli. lotion na condom zimekuwa silaha za kuogopewa?According to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.
Bora wewe umeona hiki kituko. Hii inaweza kuingia kwenye rekodi ya dunia.Yaani wanamsaka na Condom na Lotion ili wamfanyeje Jameni??
Yaani wana lotion na condom😁😁,hili sio suala la kimapenzi kweli?, Gambo aseme vizuri, usikute kala pesa za watu hataki kulipia🙆♀️Hayo majamaa yakishamtatua hakika hatasema.
Haya mamb ya kubeba na kilainish 😂Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Awamu ya tano (B) imejaa vituko sana.Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.
Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!
Daaah!
Na hata Nabii Lemma ndicho alichosema.Huyu mwamba ninachohisi ni muasherati na nahisi mkewe alifuma kondom zilizotumika nyumbani kwao.
Daima uongo mmoja huanzisha mwingine. Pengine katika utetezi wake kuhusiana na condom zilizotumika akadai watu wanataka kumuua.
Ili kuaminika zaidi imebidi aibebe story mpaka kwnenye majukwaa.
Chimbuko la hili sakata lote ni uzinzi wa Gambo.
Watu wanaogopa condom na lotion kuliko AK 47.Hii ndio ccm ninayo ijua
Au kagonganisha mabwanaYaani wana lotion na condom[emoji16][emoji16],hili sio suala la kimapenzi kweli?, Gambo aseme vizuri, usikute kala pesa za watu hataki kulipia[emoji2296]
Kitu cha ky hichoLotion haina jina? Ili tuchukue tahadhari tukiona pahali
Alitoa unabii juu jiwe yakatimia,akatoa unabii juu ya jambazi sugu Sabaya yakatimia sisi ni nani tusimuamini Nabii Lemma?Ni jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana