Mrisho Gambo atakiwa kuripoti ofisi ya DC

Usikute Magu huko aliko anakutana na dhahma huku akiulizwa, tulipomtuma Lema akuambie usijifananishe na Mungu la sivyo utakufa kwa nini ulidharau?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mungu hajawahi kudhihakiwa kamwe.
Siku zitaenda lakini ipo siku dhihaka yako itajibiwa tu
 
Nenda huko, mimi ndio nimemdhihaki Mungu au Magufuli ndio alimdhihaki ? Hivi unajuwa imeandikwa unafiki (kama huu unaofanya) haukubaliki?
Ndio, lazima ahojiwe kwa nini alionywa kujifanya Mungu mtu na akakaidi! NASEMA KWA MSISITIZO!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nenda huko, mimi ndio nimemdhihaki Mungu au Magufuli ndio alimdhihaki ? Hivi unajuwa imeandikwa unafiki (kama huu unaofanya) haukubaliki?
Ndio, lazima ahojiwe kwa nini alionywa kujifanya Mungu mtu na akakaidi! NASEMA KWA MSISITIZO!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hujanielewa kaka nilikuwa nasapoti maono ya Lema kuwa akina JPM walimdhihaki Mungu kwa kujiita majina ya Mungu na Mungu aliwajibu
 
Mmh 🙄 🙄🙄, eti nini...!!??

LOTION na CONDOM..!!??

Maana yake:

LOTION: Kilainishi..

SWALI: Walitaka kulainisha sehemu gani ya mwili wa Gambo Mrisho..?

Halafu kuna;

CONDOM: Hii inaeleweka. Kwamba condom huvaliwa kwenye uume (dick) ya mwanamume Rijali au aliyekula Viagra...

SWALI: Ina maana hawa jamaa wanataka kumfira Mrisho Gambo? Kwanini waende kwake wakiwa na lotion na condomu..?

Loooh..!!

Hawa Ma-CCM ni kiboko, acheni kabisa...

Yaani wanapanga kutaka kumfira mwenzao..?

Sababu?

Anafuatilia fuatilia mambo yao...!
Tulionya kuwa wakiwamaliza wapinzani wataanza kuumizana wenyewe kwa wenyewe. Awape tu hicho wanachotaka kwani hata akibana vipi mwisho wa siku atatoa tu hao wamedhamiria kumla
 
Lotion, au wanataka kumpaka mwili au ngozi ya Gambo imepauka sana, ha haaa, Gambo ngozi kavu au nimekosea?
 
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.

Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!

Daaah!
Kwa hiyo unatupa taarifa ya kuitwa kwa Mh. Gambo au unaleta masimango dhidi yake?
 
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.

Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!

Daaah!
Condom na lotion zinadhuru mtu kivipi?
 
Back
Top Bottom