Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

Gambo anathibitisha fedha za magufuli alizohonga mahakama majaji wafanye anavyotaka yeye kwa kukiuka viapo vyao wajuwe nchi haipo salama na wao hawapo salama
 
Wameanza kujitaja kwamba ile kesi ya lema kunyimwa dhamana ni wao? Mchawi anajificha usiku ila sii mchana.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Se
Kwako Mgambo.....Lema hawezi kukuheshimu wewe wala akili ndogo yeyote yule
Kunawatu walifungwa miaka 500 misri na Abdel gamal naseer lkn walitoka na Nasser alitoka madarakani
Ivory Coast bagbo aljimilikisha kabsa inchi View attachment 442399
Yuko wapi asaiv?

Bring back our tanzania Watanzania hatuna roho mbaya kama zenu [emoji35]
Chama tawala ni CCM,upende usipende,na Ndoto ni marufuku,hapa kazi tu.
 
Naomba uhusiano kati ya serikali na mahakama!Je,mahakama inafanya kazi kwa matakwa ya serikali?
 
Lowasa unamfananisha na Magufuli ambaye ni Rais.??????
Lazima uelewe matendo ya kihaini yanaweza kufanywa kwa kutumia mbinu mbalimbali na mojawapo inaweza kuwa hii. Tuna uhakika gani kama nje ya kapeti uhaini huu unaandaliwa ili sasa vitu kama ndoto vije kuwa backup ya issue hii. Kwa nini hakuota mke wake au mtoto wake au mdogo wake au rafiki zake watakufa??? Kwa nini kamchagua Magufuli. Hatukatai kila mtu ni muhanga wa kifo. Lakini issue hapa ni kifo cha kutengemezwa na sio natural.
Tuna uhakika gani kama waliosema lowassa atakufa kabla ya 2020 hawakuwa na mpango wa kumuua wao??????Magufuli au mtu yeyote dunia hii ni binadamu kwangu!Hakuna zaidi ya hapo,hayo mengine ni dhamana tu ambayo hata mimi naweza ipata!
 
Mrisho Gambo anachokifanya ndo anazidi kumpa umaarufu Godbless Lema .
 
Ganbo achukue fomu za ubunge wa arusha 2020.Wazipige laivu na Lema.Tuone nani atalambwishwa mchanga
 
Umaarufu wa kuwekwa lupango sio. Basi sawa. Nani anautaka umaarufu wa kizembe huo
Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27 siku moja alikuja kuwa shujaa. Lema kuna siku mtakuja kumwelewa hata nyie mwenye upeo mdogo wa kufikiri
 
We Babeli mbona unahangaika mpeleka mashitaka na wewe nani anaejua mashitaka yakoje wala hakusema ni uhaini, ile ni ndoto tu ambayo yeye ameitafisiri kama sheikh Yahya Husein. Watu kama Zimbabwe pia wapo full kujikomba hata kama uchumi umeyumba!
Ndoto tuu. Hahahaha mbona hakuota ndoto kuhusu familia yake kamanda. Tuache usanii wajameni. Hata mtoto mdogo ulimueleza hatakuamini
 
Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27 siku moja alikuja kuwa shujaa. Lema kuna siku mtakuja kumwelewa hata nyie mwenye upeo mdogo wa kufikiri
Unalinganisha walipambama na ubaguzi wa rangi na hawa viuchwala katika nchi ya demokrasia kama hii. Hahahaha. Sasa lema hapa atakua shujaa wa nini. Wa kukaa gerezani na kugoma kula au.??? Whats the agenda
 
"..... tumeshaanza kutuma salamu"? Dah, kwa hiyo Lema kunyimwa dhamana mpaka wskati huu ni sababu ya siasa. Huyu dogo ana shida sana kiuongozi na iko siku yatamrudi!
 
Back
Top Bottom