Lowassa Ni Muhimu kwa Tanzania mara Kumi, Kwani alishinda Urais Wakapita Huko na Huko Wakinyang,anga Kompyuta ili Kuiba Ushahidi, Kisha Wakamtangaza Magufuli Urais, Urais wake aliupata Maka Shain, Ndio Maana anataka Watu Kama Jecha wapewe Tuzo, Kwani wanawaibia Madaraka. So Ujue tu habari iliyokuwepo Mjini, Iliyopo na Itakayokuwepo. Lowassa Ni Bora 10X ya Magufuli. Ndio Maana hat Magufuli akawaambi Ninyi Kuwa alipata Muujiza wa Kumshika Lowassa Mkono! Kwa Hiyo Unataka Kutuambia Unataka Kumpangia Lema aote Nini? Well Hata Mimi Niliota Lowassa akiwa Katika Mazishi ya Magufuli, Lakini Pia Nilishaota Ninamchukua Mama yangu Kwenda Kumzika! Kama Lema ailshaota Familia yake Inakuhusu? Angekuwa akizungumzia Familia yake angeweza Kutoa shuhuda Kama hizo, alikuwa akimzungumzia Magufuli, na hata Mimi Ningekuwa namzungumzia Mama yangu Ningekusimulia Niliyoota Juu ya Mama yangu, Lakini Kwa Kuwa tunamzungumzia Magufuli ndio Nikasema Niliyoota Kuwa Lowassa Yupo Kwenye Maziko ya Magufuli. Usiniulize itakuwaje, etc hayo sijui Kamuulize Yule Mzee wa Siku, Aketiye Juu sanaaaaaaa, Achana na Wanaojisema Wamechimbiliwa chini Zaidi