Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

kesi ya lema gambo anahusika sana...
Ebwana eeeh. Anahusika Gambo au Hakimu. Usituchanganye. Gambo anaingiliaje Mahakama. Mbona mawakili wale watetezi wa Lema hawajatamka hayo. Wewe unayatoa wapi. Sema uwezo na uzoefu wao ni mdogo wa kujenga hoja na kufuata taratibu za kisheria ili apate dhamana. Very low level
 
Huyu jamaa ni stupid.
Naweza mfananisha na Pablo Escobar, anatumia nguvu kustay on top. Hizi nchi za ajabu ajabu inabidi kuhama tu moja kwa moja kuliko kudeal na vila,za kila kona. Kila sector ni watu wanalipizana visasi tu, wengine nao wanachukia matajiri, Tanzania ni moja ya nchi mbaya sana za kuishi kwa sasa.
Mkuu unakereka hivi. kalambe ndimu kwanza.
 
Arusha Ni Manicipal Iliyo chini ya Ukawa, Hao wanaweweseka Tu, Na Huyu sijui Gumbo, hawajui Wameru, aendelee na Maigizo yake!
 
CCM ni chama dume mbona hamtaki kukubali hilo??....Gambo ananyoosha chuma kilichopinda hivyo mnatakiwa mumvumilie tu.
Wewe, huyo gambling na ccm mnaelekea mwisho, bahati nzuri hata akili za kuona mbali hamnazo, take my words you are doomed to fail. Mamlaka ni ya muda tuu, na watz wanaakili sana...
 
Ebwana eeeh. Anahusika Gambo au Hakimu. Usituchanganye. Gambo anaingiliaje Mahakama. Mbona mawakili wale watetezi wa Lema hawajatamka hayo. Wewe unayatoa wapi. Sema uwezo na uzoefu wao ni mdogo wa kujenga hoja na kufuata taratibu za kisheria ili apate dhamana. Very low level
Hakimu Ndiye aliyemkamata na Kumfuungulia Mashitaka Ya Kipumbavu? Kesi ya Lema au Mashitaka ya Kikowadi yaliyobambikiwa Kwa Lema, Yameagizwa na Yule Mkuu asiye na Maboli.
 
Arusha Ni Manicipal Iliyo chini ya Ukawa, Hao wanaweweseka Tu, Na Huyu sijui Gumbo, hawajui Wameru, aendelee na Maigizo yake!
Ukawa ndio nini weweee. Ukawa ilishakufa kitambo we bado una ndoto zileee. ukawa inaundwa na vyama vingapi. Na mpaka sasa vimebaki vingapi. Na katika kumbukumbu zako mara ya mwisho ukawa walikutana lini kama ukawa
 
Upendo au heshima ya kulazimisha is always temporary. Hivi vitu vinatakiwa kuja automatically.

Huwezi kulazimisha kupendwa usipopendwa.
 
Kamati ya Urundi ingefanya kama alivyofanyiwa Martin Shigela Tanga kawapiga wachimbaji wadogo Hata nyumbani hakufika anaharisha vibaya
Hahaaa hao jamaa wataalam? Nasikia kulikuwa na mkuu mwingine alikuwa anaenda kumtemesha mzigo mtu alipoingia tu ukumbini akaanza kutapika na kushikwa tumbo ikabidi ikimbizwe hospital na jamaa akasave
 
Hakimu Ndiye aliyemkamata na Kumfuungulia Mashitaka Ya Kipumbavu? Kesi ya Lema au Mashitaka ya Kikowadi yaliyobambikiwa Kwa Lema, Yameagizwa na Yule Mkuu asiye na Maboli.
Duuuuu. Kamanda. Hata kama macho huoni lakini hata masikio husikii. Kwanza kwani Lema meshitakiwa kwa kosa lipi. Unajua? Je unadhani kosa hilo Lema hajalitenda? Na kama katenda je unadhani sio kosa la kisheria? Tupe mawazo yako. Tuweke pembeni ushabiki. Twende kihaki.
 
Huyu mtu simpendi sana sana..Anatumia vyombo vya dola kukandamiza watu. Akumbuke tu hivi vyeo vya kupewa vina mwisho wake. Kuna siku atapiga goti kuomba msamaha na itakua too late. Time will tell
Gambo hana makosa, mwenye makosa ni Lema; wote tunakumbuka alivyomtangazia vita Gambo mara tu ya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa. Yale hayakuwa maneno ya amani kutoka kwa mbunge, he is now paying the price. Unawezaje kutangaza vita ambayo huiwezi???
 
Ni rais kwasababu alichaguliwa ki halali na anawatumikia wananchi wote bila ubaguzi, haonei mtu, anatenda haki. Anafuata sheria na katiba, habagui watu kiitikadi. Hana chuki na mtu. Asingekuwa hivyo basi asingekuwa rais.
Hii akili ya kuku
 
Unadhani Gambo ana majigambo kuliko alivyokuwa Mulongo? Kwa sasa yuko Wapi blaza Mulongo?

Ni ishu ya wakati tu jomba
Wakati upi? Cheo kitaisha lkn hawezimtu akaacha kufanyakaz eti cheo kikiisha itakuwaje? Analipwa kwa kazi hiyo ya kuwanyoosha waliopinda
 
Duuuuu. Kamanda. Hata kama macho huoni lakini hata masikio husikii. Kwanza kwani Lema meshitakiwa kwa kosa lipi. Unajua? Je unadhani kosa hilo Lema hajalitenda? Na kama katenda je unadhani sio kosa la kisheria? Tupe mawazo yako. Tuweke pembeni ushabiki. Twende kihaki.
Kwa Kusema Magufuli anajifanya Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Huwezi Kumshitaki Mtu kwa Kusema anachoamini au Ndoto aliyoota! Na usisahau Magufuli alikuwa akikaa Majukwaani Akiwashangilia watu waliokuwa wakisema, "Mkimchagua Lowassa atafia Ikulu na hakuna Budget ya Mazishi", Wakimaanisha Lowassa angekufa kabla ya 2020! Leo Hii Kwake Mkuki ule ule lakini ni Mchungu! Basi na Mimi Niliota Kuwa Lowassa alikuwa Katika Mazishi ya Magufuli, Nikaamka Nikastuka sana. Je na Mimi Nina Kesi ya Kujibu kwa Kukubali kumwota Mkuu? Somebody get me a bucket!
 
Lema tulimnukuu akimtishia Gambo kwa majigambo kuwa atamng'oa kama alivyomng'oa Felix. Hata mimi ningekuwa Gambo ningehakikisha namuwahi adui kabla hajaning'oa. Kumtetea Lema ni kutetea ujinga, acheni apewe somo akitoka atakuwa amehelimishwa umuhimu wa kuheshimu mamlaka zilizowekwa.
 
Inaonyesha jinsi gani mhimili wa Mahakama usivyo huru, kusema kuwa mmesha aanza inaonyesha jinsi gani anahusika kuishinikiza Mahakama isitowe dhamana kwa Lema.
 
Anayeshinda na serikali ni yule ambae amekataa kuwa mnafiki na kujipendekeza..vijana mbadilike mmekua hovyo sana..hizi sifa hazina mashiko..
 
"Atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"

Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.
Upuuzi mtupu, ni kijana ila anaishi kama mzee. Ipo siku nguvu ya madaraka itamwisha tu
 
Back
Top Bottom