wivu wa kike huo
Ipo siku tu.wakuu mbona mmeenda mbali sana? Tatizo ni nini? Acheni visingizio na visababu visivyo vya msingi.
Acha Lifungwe tu .......Asante sana kwa Taarifa Kumbe yale yanayosemwa Kutokea huko Arusha Kuwa hii kesi ni yeye yupo nyuma ya pazia kwa sababu anataka ubunge bora leo Mungu amemuonyesha
Hakuna choo karibu !Safi sana
Hahaha kweli Gambo kiboko ya wavuta bangi!!
Kila bosi ana bosi wake
Hamuwezi kuwa sawa kamwe na mambo yakaenda.
Gambo piga kazi
Anae kerwa Ahame nchi kwa muda
Kumbuka tu hicho cheo kina mwisho wake,hutakaa nacho milele...sio vizuri kutumia madaraka vibaya kwa kuwanyanyasa wanyonge eti tu kisa mnamiliki dola..yanamwisho yote haya"atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"
Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.
Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.
wakuu mbona mmeenda mbali sana? Tatizo ni nini? Acheni visingizio na visababu visivyo vya msingi.