Lowasa unamfananisha na Magufuli ambaye ni Rais.??????Kwa Kusema Magufuli anajifanya Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Huwezi Kumshitaki Mtu kwa Kusema anachoamini au Ndoto aliyoota! Na usisahau Magufuli alikuwa akikaa Majukwaani Akiwashangilia watu waliokuwa wakisema, "Mkimchagua Lowassa atafia Ikulu na hakuna Budget ya Mazishi", Wakimaanisha Lowassa angekufa kabla ya 2020! Leo Hii Kwake Mkuki ule ule lakini ni Mchungu! Basi na Mimi Niliota Kuwa Lowassa alikuwa Katika Mazishi ya Magufuli, Nikaamka Nikastuka sana. Je na Mimi Nina Kesi ya Kujibu kwa Kukubali kumwota Mkuu?
Lazima uelewe matendo ya kihaini yanaweza kufanywa kwa kutumia mbinu mbalimbali na mojawapo inaweza kuwa hii. Tuna uhakika gani kama nje ya kapeti uhaini huu unaandaliwa ili sasa vitu kama ndoto vije kuwa backup ya issue hii. Kwa nini hakuota mke wake au mtoto wake au mdogo wake au rafiki zake watakufa??? Kwa nini kamchagua Magufuli. Hatukatai kila mtu ni muhanga wa kifo. Lakini issue hapa ni kifo cha kutengemezwa na sio natural.