Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
"Atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"

Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.
 
Kweli mkuu Gambo. Tumeona mnavyoweza kuonesha ishara zenyu. Kwa kukufokea tu mbele ya wageni, sasa amehamishwa home na kupewa chumba cha bure kuleee kisongo. Si sharia wala sheria za kisomi zimeweza kumtoa. Hii, kali ya kufugia mwaka 2016, Dah!! Haya mkuu tutakutiii
 
CCM ni chama dume mbona hamtaki kukubali hilo??....Gambo ananyoosha chuma kilichopinda hivyo mnatakiwa mumvumilie tu.
 
Safi sana
Hahaha kweli Gambo kiboko ya wavuta bangi!!
Kila bosi ana bosi wake
Hamuwezi kuwa sawa kamwe na mambo yakaenda.

Gambo piga kazi
Anae kerwa Ahame nchi kwa muda
Unadhani Gambo ana majigambo kuliko alivyokuwa Mulongo? Kwa sasa yuko Wapi blaza Mulongo?

Ni ishu ya wakati tu jomba
 
Ana maanisha nini kuwa serikali imeingilia dhamana ya Lema?

Kufanyakazi kwa visasi hakutamsaidia kitu, hawezi kuwa mkuu wa mkoa maisha yake yote.
Huyu mtu simpendi sana sana..Anatumia vyombo vya dola kukandamiza watu. Akumbuke tu hivi vyeo vya kupewa vina mwisho wake. Kuna siku atapiga goti kuomba msamaha na itakua too late. Time will tell
Akifa huyo mtu nitafurahi sana,hakuna cha R.I.P za kinafki hapa.
wakuu mbona mmeenda mbali sana? Tatizo ni nini? Acheni visingizio na visababu visivyo vya msingi.
 
Asante sana kwa Taarifa Kumbe yale yanayosemwa Kutokea huko Arusha Kuwa hii kesi ni yeye yupo nyuma ya pazia kwa sababu anataka ubunge bora leo Mungu amemuonyesha
kila mu anao uhuru wa kutoa mawazo yake kama walivyo wengine ila ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom