Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo, Arusha unapwaya. Lema awasikilizisha Wananchi Audio ya Magufuli akieleza sababu za kutenguea uteuzi wa Gambo

Kuna majimbo ya makondoo ila sio arusha,mbeya mjini na iringa mjini ,ukitamka vinginevyo watu wanaingia barabarani
Sijui hizi barabara wataingilia wapi! Maana usiku huo tayari itakuwa umetawaliwa na askari, mpaka asubuhi hakuna pa kupita.
 
Hv karibuni nahisi tangazo la tume litakuwa "ni kosa la jinai vyama vya siasa kutumia sauti zilizorekodiwa katika kampeni" Watasahau kuwa hata zile nyimbo ni sauti zilizorekodiwa
 
CCM hawajafeli wao hawategemei kura zenu wao wanategemea tume ya uchaguzi itakapomtangaza saa tisa za usiku kuwa Gambo mshindi na nyie mtabakia kuokota porini masanduku ya kura.

Nimezaliwa Arusha, Nina miaka over 50, hilo Hawawezi kuthubutu especially kwa mtu jasiri kama Lema
 
Back
Top Bottom