Mrembo wa jf

julius mahinya

JF-Expert Member
May 11, 2013
1,152
384
She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!!
Alinitembelea leo mtaani kwangu baada ya mawasiliano ya hapa na pale! nimempokea saa 6:30 mchana akitokea posta nimemuaga saa 12:58 jioni akielekea kwake!
Ni member mwenye michango mingi na anayeheshimika sana humu MMU! nimefurahishwa na charming yake, i was too fun kwake! neno ahsante kwake limemtawala sana! alipofika om hakusahau kunipa update zake kama! nimefika salama, naenda bafuni kuoga, napika chakula, naomba tuchat!
Humu jamani kuna warembo na wanavyoongea humu ni tofauti na caring wanayoonyesha nje ya jukwaa! Nami nakushukuru kwa kampani yako kama ulivyofanya ulipofika kwenu , i like that!
Wanaume wenzangu msiwachambe wadada, ndio ombi kaniomba niwambie katumia msitari wa kidini kuwa niwambie tulielezwa "tuwapende nao watutii" naomba tusiwakere kwa kweli ni warembo na wanatukubali jamani tuwaheshimu naye nimempa kazi hiyo ya kurejesha heshima yetu toka jinsia yake!
 
...labda waliongea na muhusika kamruhusu kuanzisha thread hapa ali mradi hamtaji kwa ID yake, sioni tatizo kama wahusika wenyewe wamekubaliana.
 
Hivi ukikutana na mtu nje ya JF huwa kuna ulazima wa kuandika sredi?

Sina hakika kama ntakidhi matakwa yako kwakuwa sijui ulimaanisha mtu wa jf au wa nje na jf!
kama ni wanje jf kutakuwa na haja kama kuna kitu kafanya unahitaji ushauri, au kuna kitu unahitaji watu wajue!
kama ni wa humu humu mkipeana kazi kama tulizo kubaliana mimi kuwawakilisha wanaume naye wadada turejeshe amani unaanzisha uzi maana hakuna njia zaidi ya hiyo! pia kama kuna kitu special watu watajifunza unasema mfano mtu anakukutanisha na teja kwa nini usilete humu?
kifupi nadhani umenielewa!
 
Back
Top Bottom