excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
wanaume wa aina hii duh!!!!!!!!!! kujitambua ni kazi sana, akili kweli ni nywele maana kila mtu na zake! unajua ulicho kisema? uso wa mbuzi unaujua? unajua mapungufu uliyo nayo regardless na huo muonekano wako usiofanana na uso wa mbuzi! unaweza pitia post zote ukafanya tathimini kama ulikuwa unaelewa hata unacho kiongea! busara unayofikiri watu huwa wanasema unayo iko wapi? jiheshimuni mnapoheshimiwa! unajua wanaume kama mabinti ni watu kama nani waliimbiwa zaidi ya aina yako?
be smart inamaana kila mwanaume aliyekuja na thread ya aina hii ana sura ya mbuzi? hivi akili hapa imetumika au kamasi!
iam talking to you watu8... do you hear me watu8..?
usiongee mak***si watu8..!!
Last edited by a moderator: