Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Kwa JF huyo ni mmoja in 100
Atakuwa christine ibrahim huyo.
Atakuwa christine ibrahim huyo.
Atakuwa christine ibrahim huyo.
Kwi kwi kwi kwi hiyo ni siri yangu ila nilimuona akichungulia hapa huku akiwa na tabasamu la nguvu kwa jinsi alivyopambwa. 🙂
Au ME wanaokutana nao sura ka uso wa mbuzi...in short hakuna cha kusifia...
bibi mbona unaishia kushangaa! bila haya wajukuu zako wanakaangana kila siku bora amani ilejee kama enzi zile za wewe na babu! sio kila siku tunaishia kuchambana me v/s ke! ifike siku tunasifia kama hivi!
japo ninacho kishangaa mimi kumbe tukiwasifia tena munaoneana wivu nilimwambia mjukuu wako leo hapa ananitumia sms anasema mimi ni mtabiri! lakini nilijua ndivyo mlivyo matajiri wa wivu wachoyo wa kupendana wenyewe kwa wenyewe!
Hilo tatizo litawatafuna sana!!!!!!!
Khaaaa umeanza vizuuuri sasa umeanza kutuponda shemeji vp?? Achana nao endelea kutupenda nasi tutakutii kama alivyokwambia Dada yetu!!
nawapenda sana!
bibi mbona unaishia kushangaa! bila haya wajukuu zako wanakaangana kila siku bora amani ilejee kama enzi zile za wewe na babu! sio kila siku tunaishia kuchambana me v/s ke! ifike siku tunasifia kama hivi!
japo ninacho kishangaa mimi kumbe tukiwasifia tena munaoneana wivu nilimwambia mjukuu wako leo hapa ananitumia sms anasema mimi ni mtabiri! lakini nilijua ndivyo mlivyo matajiri wa wivu wachoyo wa kupendana wenyewe kwa wenyewe!
Hilo tatizo litawatafuna sana!!!!!!!
mitego mingine bwana....!