Mrembo wa jf

Mrembo wa jf

Mhhhh!!!! Hahahahaha lol! haya banaa....Hongera zako maana umepambwa ile mbaya na ukapambika. Mtu anayependa kusema ahsante humu ndani mie namjua nahisi ni yeye. Anasema ahsante karibu mara milioni kwa siku 🙂🙂

:violin::violin::violin:
ni kweli nimemruhusu bora asinitaje
 
Mhhhh!!!! Hahahahaha lol! haya banaa....Hongera zako maana umepambwa ile mbaya na ukapambika. Mtu anayependa kusema ahsante humu ndani mie namjua nahisi ni yeye. Anasema ahsante karibu mara milioni kwa siku 🙂🙂

:violin::violin::violin:
ahahaaa hivi portable yupoje? na utajuaje mtu ni portable....
 
...labda waliongea na muhusika kamruhusu kuanzisha thread hapa ali mradi hamtaji kwa ID yake, sioni tatizo kama wahusika wenyewe wamekubaliana.

kaka kuna midude akili ya ufahamu haina hata kusoma macho haina linachangia tu! kwenye thread nimesema kaniachia wajibu gani alitaka ni mp au nitumie njia gani! mingine inaunga mkono huku inajua mimi si wa hivyo! achana na wenye upofu au wanao jitoa fahamu!
 
dah, we nawe, cha ajabu mdada wa watu kaja kukutembela lakini hata kumtoa nauli basi hamna!!

sasa unaona raha sana mtu kutoka mbagala mwisho kwenu huko mpaka kwao masaki?

sio vizuri aisee!
 
Akituma sms ya kuomba laki ya fiesta pia uendelee kumsifia hivyo hivyo.
Ikitokea hilo utamuona anaanzisha posti 10 zote akiwa analalamika kupiga mizinga. Ndiyo tabia ya hawa machekibob wa hapa JF akiombwa msaada tu, kosa.
 
Teh teh teh unavyompamba.hongera na ndio muache kuweka thread za kututukana.

kama nilivyo mwambia mwenzenu wenyewe hampendani mnataka tuwapende! mwenzako kusifiwa unaona karaha!ulitaka nikusifie wewe ambaye sikufahamu!
 
dah, we nawe, cha ajabu mdada wa watu kaja kukutembela lakini hata kumtoa nauli basi hamna!!

sasa unaona raha sana mtu kutoka mbagala mwisho kwenu huko mpaka kwao masaki?

sio vizuri aisee!
ungesema hana hela ya mafuta si kila mtu anapanda dala dala!
 
sasa we nawe ulitaka niseme direct hivyoooo!!!

nauli si ndio modern language for pesa ya mafuta?

ama wewe ulielewa katika local language?
 
mama next time ntafanya bila kuambiwa! ukilala ulale salama ila usiache kumshukuru muumba!
 
Ikitokea hilo utamuona anaanzisha posti 10 zote akiwa analalamika kupiga mizinga. Ndiyo tabia ya hawa machekibob wa hapa JF akiombwa msaada tu, kosa.

aisee mimi binafsi nimeshapata namba moja hivi kutoka kwa mdada wa jf, kila leo ananipigia simu akinifananisha na member mmoja hivi!!

yeye anataja sijui ni lyamba ama mamba mi hata sielewi!!

lakini mpaka sasa tumeshakuwa marafiki vibaya japo hatujawahi onana!!

aisee kama huyu jamaa kweli ni member wa jf humu anitafute nimuwasilishie mgeni wake!
 
He! Kumbe wewe dume!!!!???
 
Back
Top Bottom