julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #41
He! Kumbe wewe dume!!!!???
nami nimeshangaa kama wewe!!!!!!!!!!!
He! Kumbe wewe dume!!!!???
Akituma sms ya kuomba laki ya fiesta pia uendelee kumsifia hivyo hivyo.
he watoto bana
Hivi ukikutana na mtu nje ya JF huwa kuna ulazima wa kuandika sredi?
Halafu mara zote huwa ni ME tu ndio wanaoleta feedback...
#JustCurious
mpendwa pitia comment zangu kwenye uzi huu utagundua hilo nalo si neno!Hahahaa haaaa
hili nalo neno
Mhhhh!!!! Hahahahaha lol! haya banaa....Hongera zako maana umepambwa ile mbaya na ukapambika. Mtu anayependa kusema ahsante humu ndani mie namjua nahisi ni yeye. Anasema ahsante karibu mara milioni kwa siku 🙂🙂
:violin::violin::violin:
itakuwa KE wanaona aibu
kama nilivyo mwambia mwenzenu wenyewe hampendani mnataka tuwapende! mwenzako kusifiwa unaona karaha!ulitaka nikusifie wewe ambaye sikufahamu!
mkuu naona pengine ujanielewa . kifupi sijapingana na aliloliandika watu8 maana na mimi na shangaa kama yeye.
Sasa karaha niliyoonesha hapo ipi hebu soma post yangu vizuri.
mmmh!! mtaje nikwambie kama kweli ndio huyo..
Au ME wanaokutana nao sura ka uso wa mbuzi...in short hakuna cha kusifia...
Bi dada hongera,, umepambwa mizinga yetu ikianza sasa.....
ahahaaa hivi portable yupoje? na utajuaje mtu ni portable....