MREMBO KITUBIONI... hii sawa au sio sawa?

MREMBO KITUBIONI... hii sawa au sio sawa?

nasikia hata huko Italy kwenyewe ni kama 3% tu ya wakazi wanakwenda kanisani.
dini zimehamia huku kwetu uswahilini nadhani huko ulaya hata kurecruit padri ni shida, Kuna kipindi itabidi wawe wanawatoa huku bongo.
Kwa uhaba wa waumini makanisani ulaya, akija hata na bikini inabidi utafute jinsi ya kumuelekeza kwa Mungu na bikini yake ili usimpoteze kabisa.
Waendaji kanisani Ulaya the majority of them are immigrants. Phillipinese who are needed for their nursing skills, Nigerians,Vietunamise, Sierraliones ect,
Mapadri wengi wa Catholics na Church of England wanatoka Nigeria.
 
nasikia hata huko Italy kwenyewe ni kama 3% tu ya wakazi wanakwenda kanisani.
dini zimehamia huku kwetu uswahilini nadhani huko ulaya hata kurecruit padri ni shida, Kuna kipindi itabidi wawe wanawatoa huku afrika.
Kwa uhaba wa waumini makanisani ulaya, akija hata na bikini inabidi utafute jinsi ya kumuelekeza kwa Mungu na bikini yake ili usimpoteze kabisa.
Wewe umenielewa Mkuu!
 
Back
Top Bottom