MREMBO KITUBIONI... hii sawa au sio sawa?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
39109097_10156676604518669_7062032772818272256_n.jpg
 
Ndiyo maana kuna watu wameamua kuwa wapagani.!
Huu ni utani sio?
 
Kama nipo church then awe mbele yangu hakika shetani lazma aniteke !
hahahaa ndio maana kaenda siku yuko peke yake. wahudumu hawapaswi kumzuia bali wamuhifadhi maana kuna kondoo bado wapwa wanaimani changa anawezakuwazinisha bila hiyari yao katikati ya ibada.
*Mandingo* jina hili maarufu sana ujanani.
 
Hapo ameenda kuongeza dhambi tu,wakatatoliki ni mashetani wa kutupwa (nimesoma kwenye chuo kikuu cha kikatoliki kwa muda wa miaka mitatu mfululizo...nawafaha vzr sana mapadre,masista na takataka zote ndani ya ukatoliki)
 
Acha hizo kashfa mkuu Monde Arabic
 
Mr Tumia maneno ya hekima na busara plz
Hapo ameenda kuongeza dhambi tu,wakatatoliki ni mashetani wa kutupwa (nimesoma kwenye chuo kikuu cha kikatoliki kwa muda wa miaka mitatu mfululizo...nawafaha vzr sana mapadre,masista na takataka zote ndani ya ukatoliki)
 
Hapo ameenda kuongeza dhambi tu,wakatatoliki ni mashetani wa kutupwa (nimesoma kwenye chuo kikuu cha kikatoliki kwa muda wa miaka mitatu mfululizo...nawafaha vzr sana mapadre,masista na takataka zote ndani ya ukatoliki)
imani za watu mkuu, staha inatapendeza zaidi.
 
Kwa hali hii abari za mapadre kubaka hazitaisha
 
Mapadri wa Ulaya wanaona mambo. Summer unakuta mdada amevaa kimini mgongo wazi yuko kanisani.
Yap. Sio Mapadre tu wanaona, hata ww ukiwa huko Ulaya e.g. Denmark kindi hicho utajionea zaidi ya hilo na sio mmoja tu bali ni wengi kwenye viwanja/maeneo ya wazi wakiota jua wakiwa almost naked (Wamevaa bikini tu) jua kwao ni bidhaa adimu sana.
 
Hapo ameenda kuongeza dhambi tu,wakatatoliki ni mashetani wa kutupwa (nimesoma kwenye chuo kikuu cha kikatoliki kwa muda wa miaka mitatu mfululizo...nawafaha vzr sana mapadre,masista na takataka zote ndani ya ukatoliki)
Hii sasa imevuka mipaka ya ustaarabu.Hoja ya kuwafahamu ungewasilisha bila kutumia lugha ya kuudhi ungeeleweka vizuri.Una uhakika wewe haaujawahi kutenda dhambi?Una tofauti gani na hao unaowaita takataka?
 
Mapadri wa Ulaya wanaona mambo. Summer unakuta mdada amevaa kimini mgongo wazi yuko kanisani.
nasikia hata huko Italy kwenyewe ni kama 3% tu ya wakazi wanakwenda kanisani.
dini zimehamia huku kwetu uswahilini nadhani huko ulaya hata kurecruit padri ni shida, Kuna kipindi itabidi wawe wanawatoa huku afrika.
Kwa uhaba wa waumini makanisani ulaya, akija hata na bikini inabidi utafute jinsi ya kumuelekeza kwa Mungu na bikini yake ili usimpoteze kabisa.
 
Back
Top Bottom