Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

mrema.jpg

aCheyo.jpg

Unategemea nini?

Mkuu nakukumbusha kuna picha Mboe kapiga na Kikwete pale Mahakama Kuu hivi pale na wewe ulitegemea nini?
 
Binafsi hawa wazee nawaheshimu sana kwawaliyowahi fanyia nchi hii, tatizo hawasomi alama za nyakati na pengine umri unawafanya wasisome alama hizo, nawashauli wawaulize Paul Kimiti na Mzindakaya ambao hawakutaka aibu ya kuangushwa iwakute. Niwakumbushe tu kuwa vijana tumechemka sana hatutaki wajuukuu wetu waje soma utajiri nchi hii ilojaliwa kuwa nao harafu watuulize ulikopotelea na tusiwe majibu.
 
Kuifuta CDM ni kuwapa sifa za bure tu. Watanzania wenzangu wapenda amani, Ivumayo huwa haidumu, wananchi watawachoka tu,, nani asiyependa amani,, nani anataka maisha ya ukimbizi? Na tayari watu wameshaanza kuwashtukia. Waacheni kama Mwalimu alivyosema juu ya Mrema wakati ule polisi wanamsumbua. Naomba waachiwe uhuru wooote, waende kote, na polisi wawape ushirikiano mzuri tu, tusiwabague ni wenzetu hao, watasema na maneno yatakwisha, watu tunawaangalia tu.
Maji ya moto hayo, yatapoa tu.[/QUOTE]

wewe unaona hivyo lakini jk wako anaona tofauti...na jk analetewa taarifa na usalama wa taifa,..wameshamwambia kuwa CDM wanakubalika na wataendelea kukubalika,the only way ya kumsimaisha mtu kama slaa ni kumpiga risasi na kumuua kitu ambacho yeye haogopi
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...

akili upungua na busara kuongeza kadri muda na umri unavyoenda na mashaka na uongezekaji wa umri wao
 
Mrema na Cheyo waandikiwe waraka kama ule alioandikiwa Harman kwenye agano la kale then wavikwe sanda za kijani
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Ifike mahali watu watumie utaratibu wa misikitini wa kutovumilia wanafiki na kuwaadhibu hata wawe wako msikitini wanatoa mahubiri, hawa wazee wawili sijajua kabisa nafasi zao kwenye siasa maana kwenye upinzani hawapo kwenye CCM mara wapo mara hawapo, hizi ndiyo dalili za unafiki wa hali ya juu ni wasaliti wa Demokrasia, sidhani kama wanajua wajibu wao kama wapinzani ni wasaliti wa hatari, kwenye vikao vya ccm hawa ndiyo waalikwa wa kudumu, hii ni aibu sana!!!!
 
Cheyo ni Mnyatunzu ambae ni waste of space.Hivi niambieni UDP ina nini zaidi ya Bariadi?
 
Mrema alilipiwa gharama za matibabu India na JK, Cheyo alifanyiwa nini na JK?
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...

Hao wote ni mapandikizi ya ccm. Wananchi wamewastukia na hawana time nao. Nadhani chadema imewashika pabaya. Mrema na cheyo wamepoteza wanachama wengi mno kwa hiyo wana uchungu na CDM. Na bado, mwaka huu wataumia sana lakini wananchi wa leo sio wa juzi.
 
Sasa hawa kwa mtindo huu kamati zao zitafanyaje kazi na CDM bungeni?

Wanalipa fadhila za kupewa uenyeviti wa kamati
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
kumbe hawa wazee hawajaanza leo umamuruki kumbe ni wa kitambo sana aisee!
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
 
Mrema ni Mtu wa kale aliyepitwa na wakati,hiki ni kizazi kipya na ulimwengu wa Technohama ulimwengu unakimbia kwa kasi sana Mrema,wewe huwezi enzi zako zilipita na laana uliyopewa na Mwalimu Bado inakuandama! Ndiyo maana hata ulipojipendekeza kwa CCM Dodoma walikukejeli tu.
Hataki mfi.ra.ne.
 
Attachments

  • 2539355_IMG-20201004-WA0010.jpg
    2539355_IMG-20201004-WA0010.jpg
    43.8 KB · Views: 1
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Wafutwe tu maana sio wazalendo.
 
Back
Top Bottom