Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Mrema anatamani kufia bungeni anachochangia sikioni
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Failed politicians without sense of humour
 
Wako sawa ,chadema ni magaidi waliojificha kwenye kichaka cha siasa na demokrasia ,ni wakuogopwa kama ukoma
 
Back
Top Bottom