Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

Hivi Ni macho yangu au Nini kile nilikiona kwa Mrema " that man is nearing Israel" sirudii
 
Kumjadili Mrema na Cheyo katika siasa za sasa za Tanzania na mambo mengi tuliyo nayo ni matumizi mabaya ya akili na muda!!!
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
wako sahihi, CHADEMA hawafanyi siasa bali wanafanya mihemko.
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Hicho chama kilishakufa, ni suala la muda tu kitafutwa kwa sababu kimekuwa wakala wa mabeberu, yaani ukimsikiliza mzungu wao haongelei upinzani bali kikundi cha huyo kibaraka lisu. Na kila anayehusika na hicho kikundi mpaka sasa yupo black listed ili kuona mienendo yao maana wanajiapiza kuleta vita, kuleta machafuko, etc, hivyo wajijue Tanzania ilishiriki harakati za ukombozi na timu hiyo hiyo yenye vinasaba hivyo hivyo bado ipo na iliwashinda makaburu na US na ulaya yote iliyokuwa inashabikia makabulu sembuse mjinga mmoja na lisu na mzungu wake? Hakika hawawezi kuiyumbisha Tanzania.
 
Kumjadili Mrema na Cheyo katika siasa za sasa za Tanzania na mambo mengi tuliyo nayo ni matumizi mabaya ya akili na muda!!!
Tunawajadiri leo kwa kuwa juzi ndio vyama vyao vimepiga kura kusimamisha kampeini za Lisu,ili kuweka kumbukumbu sawa lazima mafaili yapekuliwa tujue wahusika rekodi zao za nyuma zikoje,kwa hali hiyo ni matumizi sahii ya muda ili na wao wajue kuwa tunajua then hakuna jipya, na pia ni muhimu watu wakajua uamuzi uliotolewa ni wa kimaslahi na kimahaba zaidi kuliko kanuni na sheria.
 
Inavyoonekana ndani yachadema kwasasa hakuna viongozi mahiri wa kuendesha siasa km kipindi cha akina Dr w.slaa.
Maana kuanzia mikutano yao..matusi
Kwenye mitandao ya kijamii...matusi
Kwenye media....matusi

Nataka niwakumbushe chadema.
Haya 2015 mliongeza wabunge bungeni kwa sababu ya ustraabu wa Lowasa.
Km hamtabadirika kuanzia kwenye mitandao, midia, mikutano ynu nk. Mnaenda kukiua chama.
Maana kwa sasa nirahisi sn kumjua mwanachadema kuanzia namna ya kuongea, kuchangia hoja, mpaka kiuandishi.
Shime shime chadema badirikeni.
 
Kwanini CCM kuongea matusi mmeacha lini?

Umejisahaulisha Nape akiwa katibu mwenezi alikua anamuita Slaa ni Mzinzi/kababu huku Mbunge wa mtera kibajaji akisema Slaa anatembea kama amejinyea.

Kwa matusi nyinyi ndio waasisi.
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Hayo ni mawazo yao wana haki so long it is a democratic country. Tuheshimu katiba msiwashambulie.
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...

Wewe jaribu kuangalia body languages za viongozi hao wa vyama vya upinzani wanapo zungumza kuhusu Chadema wanaonekana wanafanya maiigizo tu, kwa maneno mengine hawako sincere hata kidogo - watu wazima kujipendekeza sio fresh hata kidogo.

Binadamu wenye misimamo dhabiti hawabadiriki for the rest of their lives - ma flip floppers unikumbusha mambo mawili, la kwanza ni lile Baba wa Taifa ulipo kataa mapendekezo ya wananchi specifically CCM kwamba hasikubali kuanzishwa vyama vya upinzani nchini kwa madai kwamba eti vitaleta vurugu na vita - Nyerere alijuwa maoni hayo ni ya kinafiki tu na wengi walio kuwa wanapinga suala hilo walifanya hivyo kulinda maslahi yao binafsi hawataki mabadiriko yawepo - kwa bahati nzuri Nyerere alikuwa ni binadamu aliye kuwa anaona mbali sana alijitahidi sana kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani, sioni kama somo hilo liliwaingia, binafsi naona hilo lilikubalika kwa shingo upande sana- chunguza kwa umakini kinacho endelea nchini hivi sasa - vyama vya upinzani vinakubalika on papers tu, to please donor Countries basi!!

Jambo la pili nakumbuka nilipo kuwa nasoma O-level palitokea mvutano kati ya Mobutu Tse-Tse-ko na Tsishekedi Baba yangu mzazi aliniambia kwamba hao wanafanya maigizo ya kisiasa kuhadaa Dunia, alisema wapinzani wa kweli wa Mobutu walisha aidha kuikimbia Congo, kupoteza maisha au kufungwa gerezani - na kweli, mfano ni Kabira aliye kuwa amekimbilia Tanzania; Tsishekedi kabaki Congo wanafanya maigizo na Mobutu.
 
Waache waifute ndipo watagundua kuwa watanzania wa leo sio mabwege tena. Wataikaribisha hali ya Libya mlangoni mwetu kwa spidi kubwa ya ajabu wakijaribu kufanya hivyo. Wanaweza kutuua kwa risasi za moto wafuasi wa CHADEMA wote lakini matokeo ya kufanya hivyo bado yatafanya wasifurahie maisha tena hasa ukizingatia muundo wa jamii za taifa letu ulivyo.
nguvu ya kwenye keyboard...huna lolote
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Mrema the longtime dead wood!! Cheyo the political entrepreneur!! Zero impact to democracy. The dying horses normally might be dangerous. However these ones are finished with through multiple shipments including HIv and AIDS AND DIABETES.
 
Wote hao wanapata bahasha toka CCM.
 
Mrema the longtime dead wood!! Cheyo the political entrepreneur!! Zero impact to democracy. The dying horses normally might be dangerous. However these ones are finished with through multiple shipments including HIv and AIDS AND DIABETES.
Bila maradhi yoyote yale, akili ya mwanadamu inakuwa active 100% hadi age ya 70. baada ya hapo inaaza kurudi reverse !! Kwa hiyo ni suala kuwasamehe tu hawa wazee wetu.
 
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu wanataka kuleta vita. Cheyo naye amesema CHADEMA wanataka kuleta mambo ya Libya na Misri.

Hivi kweli hawa ni wapinzani? Na kwanini wote wazungumze lugha moja kwa wakati mmoja. Imetokea kwa bahati mbaya? Eti Mrema anadai CHADEMA hawana uchungu na taifa hili na wanatumiwa na mataifa ya nje...
Wrote hao in wagonjwa wasamehe
 
Wasiwe na wasiwasi tunakifuta tarehe 28
 
Back
Top Bottom