Mrema & Lowassa: Your Comment

Nyie mnaombeza Mrema hamna kabisa sense of style, (besides kisukari) Mrema kawashinda ki sana tu:

armanispring2009menscollection7.jpg
hilo punga hilo

BTW ile picha lazma mrema anasema "dah afadhali wewe gamba, mie naitwa denda siku hizi"
 
Makamu waziri mkuu(viatu) na waziri mkuu(nywele) wamependeza
 
Mrema anamwambia Lowasa, Aiseee usiogope kujiuzulu, wee ukijiuzulu tu njoo TLP Nitakuachia nafasi ya mwenyekiti wa chama na utakuwa mgombea urais 2015 kupitia TLP
 
Back
Top Bottom