Mrema aitolea uvivu CHADEMA

Mrema aitolea uvivu CHADEMA

sie wasomaji wa raia mwema na mwanahalisi tuna uwezo wa kusoma gazeti zima mpaka ukurasa wa michezo.....na sie wanafunzi wa chachage tumefundishwa kusoma kuanzia kitabu cha max volume ya kwanza mpaka ya mwisho ili ijubi swali moja la chachage....kusoma kwetu si tabu au adhabu ni kuongeza maarifa na ujuzi

kumbuka hakuna generalization....hakuna sisi 'watanzania wavivu' wa kusoma ......kuna mtanzania mmoja mmoja mvivu wa kusoma....siwezi kugeneralizi taarifa za kijiji kimoja tu sembuse taifa

mix with yours

Kwapani nimeipenda sana hii, mvivu yeye.

Lakini umesahu kuweka Mh. Dokta Mrema, kweli udakitari karne hii una wenyewe.

Dokta Mrema, Dokta Kikwete, Dokta Lwakatare, Dokta Realman............

sie wasomaji wa raia mwema na mwanahalisi tuna uwezo wa kusoma gazeti zima mpaka ukurasa wa michezo.....na sie wanafunzi wa chachage tumefundishwa kusoma kuanzia kitabu cha max volume ya kwanza mpaka ya mwisho ili ijubi swali moja la chachage....kusoma kwetu si tabu au adhabu ni kuongeza maarifa na ujuzi

kumbuka hakuna generalization....hakuna sisi 'watanzania wavivu' wa kusoma ......kuna mtanzania mmoja mmoja mvivu wa kusoma....siwezi kugeneralizi taarifa za kijiji kimoja tu sembuse taifa

mix with yours

Umesema kweli kabisa watu waache kufanya generalization.

Jamani msisahau kuwa Mrema ni mtu wa system (usalama wa taifa) kwahiyo yuko kazini mwenzenu. Mkilitambua hilo wala hamtapata shida na kile anachoongea.

hii nimeisikia klaudis wakati nikitoka zangu kibaruani wakati Kiraracha akilalama kuhusu tetesi kuwa yeye ni kibaraka wa magamba.

je,

Kiraracha ni Dr. Mrema?

Wakati nafungulia tv yangu asubuhi nilikutana na mchango wa mnyonge wa kiraracha kamanda wa zamini na mapinduzi bwana augustine mrema akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi..lakini badala ya kuzungumzia hoja iliyokuwa mbele yake na kuanza kukishambuli chama cha chadema kuwa kinamuandama na kumuita kibaraka wa ccm,kwa nilivomjua mrema wa miaka ya tisini nikimlinganisha na mrema huyu ni vitu viwili tofauti..no bora angeachana na siasa kama akina keenja,warioba,msuya na wengine ili kuondoka na sifa yake.....buriani mrema kalale agustine!!!!!

Mwacheni huyo mzee..anatafuta hifadhi, muda wake umekwisha na kisukari nacho kinazidi kumtafuna

Usimseme mtu kwa ugonjwa anaougua kumbuka kuna kesho ndugu..au ndo umevuka mto?think thrice frend..

article 18(b) ya CURT inampa uhuru mtu yoyote kutoa maoni yake,mwacheni mzee wa watu,tatizo lenu watanzania hamwangali nyuma mnaogopa kugeuka jiwe la chumvi?

Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.

Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?

Hongera kwa analysis ya ukweli.

Kweli ni analysis ya Ukweli,sometimes nafikilia sana najiuliza Baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere au aka Mzee Mchonga he was genius,kiona mbali sana kwa maana ya maono he was a Man of vision.Manake alimjua Mrema akasema awezi kuacha Nchi yake kwenda mikononi mwa wild dogs.Hakika ni kama mwongo [decade] mmoja na kitu na haya yamedhihiri kuwa alijua kwanini alimwambia Mrema muuacheni asukumwe na kubeba kwani watu ubeba jeneza sembuse yeye Mreama.Hatimae Mrema mwisho wake please ni aibu na wote tumeona hata hotuba yake ambayo ni kama kafunga hitimisho kuwa hakuna jipya na ni kigeugeu.

Tunajua Mwalimu alisema nini juu ya chama cha CHADEMA,na tunavyoiona na kutathimini maendeleo ya chama hicho kwa sasa kazi hiko kwa CCM kuakikisha wana PROVE WRONG maneno ya Mwalimu.Kwani ukitathimin manano ya Mwalimu dhidi ya Mrema na Maneno ya Mwalimu kwa CHADEMA ya Mrema yametimia Kwishney BABU JIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.

Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.

Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?
Wewe umetoka kwenye ban leo, unaitafuta ban nyingine hebu tulia kwanza futari ishuke, nenda kule jukwaa la MMU kawape watu ushauri, huku utajitafutia ban nyingine ngoja mwezi mtukufu uishe ndio uje huku.

Jibu hoja huko achana na mimi.

Wewe umetoka kwenye ban leo, unaitafuta ban nyingine hebu tulia kwanza futari ishuke, nenda kule jukwaa la MMU kawape watu ushauri, huku utajitafutia ban nyingine ngoja mwezi mtukufu uishe ndio uje huku.

Muache shekh,siunajua bila watu wa aina yake jamii haina tofauti ndio maana hata Mrema Mungu akamjalia Uzima pamoja na misukosuko ya ugojwa hatimae wale ambao walikuwa hawajui rangi yake kama Mrema leo imedhihirika mbele ya Umma.Na Mwalimu kathibitisha kuwa hakupenda Nchi aliyoiasisi iangukie mikononi mwa waongo na vigeugeu.

Mwache sheikh nae its part of our life like Mrema,life goes on.Wale wote wenye kupenda Nchi na kuitakia Maisha mema yenyewe na watu wake ni kukubali kuwa watu aina ya fox nao wanamchango wao wakutukumbusha na kutuweka kwenye mstari kuepuka kusimamia tusiyoyaamini.

Inaonekana wewe huna taarifa za DODOMA leo walivyofukuzwa kwenye chama Lowasa na Chenge. Gamba limeshavuliwa hongera sana CCM.

Nyie Arusha vidiwani tu vinawahenyesha. Unanchekesha!

Ni kilaza huyo Mrema, ndiyo maana amegombana na kila mtu ndani ya chama chake. Angalia kunazia Bagenda, Jafu, Tao, Komba, Ngawaiya na wengineo wengi, wote waliokuwa wanalamba ****** yake wamemkibia. Ndani ya chama amebaki yeye na mkewe.

Nawashangaa wanaomshangaa Lyatonga Mrema.

Inategemea na mtu anavujisikia. Kuna watu wana shahada zao za udaktari za kusomea lkn wanapendelea kuitwa au kutumia Mr au Mrs/M/s/Miss pamoja na kazi zote za kujihangaisha na elimu ya udaktari. Wanajisikia raha mukhstarehe kuandika jina lake kama Bw Xhwatsawu au Miss Khasankhessa`kiq'.

Lkn wengine ambao walikwepa umande kama mume wa salma a.k.a mbayuwayu utamsikia akiitwa Dr mbayuwayu; naye utamwona anachekelea meno yote 32/34 nje......................kwakwakawkwakkwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakwakwakwakwakwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakwakwakwakwa!!!!!!!

kweli nabii hakubaliki kwao. mrema kachagulia na watu elfu 30 awe mbunge, wananchi wamemwamini. wa sauzi wakaona historia yake nzuri wakampa dr. wa heshima. wa tz tuna matatizo gani kazi kuponda tu. embu jiulize we baba yako kafanya nini mpaka unapata jeuri ya kumbeza mrema, hafiki hata robo ya mrema. jiangalie kwanza mwenyewe...

Usimseme mtu kwa ugonjwa anaougua kumbuka kuna kesho ndugu..au ndo umevuka mto?think thrice frend..

hapo hilo neno kuna watu wanajiona wenyewe wazima sana mpaka unaponda ugonjwa wa mwenzio. ajiangalie sana kutafuta sifa za kijinga mwishowe maradhi yatanpata yeye. angalie familia yake kabla kubofya ujinga huu

Similar Discussions

Back
Top Bottom