kweli nabii hakubaliki kwao. mrema kachagulia na watu elfu 30 awe mbunge, wananchi wamemwamini. wa sauzi wakaona historia yake nzuri wakampa dr. wa heshima. wa tz tuna matatizo gani kazi kuponda tu. embu jiulize we baba yako kafanya nini mpaka unapata jeuri ya kumbeza mrema, hafiki hata robo ya mrema. jiangalie kwanza mwenyewe...[/QUOTE]
Great thinker yeyote huwezi kumwambia ajiulize baba yake ameifanyia nini nchi yake! inawezekana hapo ulipo unajiulza baba yako amejifanyia nini nchi yake ukilmlinganisha na mrema, una haki ya kuwaza hayo maana wewe mtoto wake si great thinker!
Sisi baba zetu wametuzaa tukiwa na akili timamu, wametupa elimu imetuongezea busara na hekima na sasa tunaweza kukaa chini na kutafakari mustakabali wa nchi yetu.....tuna hakika ya kula, kuvaa na kupata matibabu mazuri lakini bado tuna uwezo wa kuto-lewa yote haya, bado tunakumbuka kuwa watanzania wenzetu wanaangamia....hatuwezi kukaa kimya...kwa hili mababa wote wa great thinkers wamefanya kazi nzuri ambayo huwezi kuilinganisha na mrema mwanasiasa medioka...
By the way angalia bunge, wana ccm wabunge mpaka wa viti maalum wanaigomea bajeti ya uchukuzi.....wanasema hali ni mbaya....wewe na faizfox na mrema mmetoka sayari gani?
mix with yours
Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.
Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?
Jamani huyu Mrema si alisomewa itqaf wakati ule ili aokote makopo, sasa mnashangaa nini , itqaf imejibu.
<br />Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.<br />
<br />
Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?
jimbo la vunjo alipewa zawadi na ccm kwa kucheza ndombolo kwenye mkutano wao wa nec,..walilichakachua kwa niaba yake...wachangiaji wengi mna fikra mfu, mrema ni mtu huru na anauhuru wakuamua na kufanya kile anachokitaka na kukiamini. si lazima awafurahishe nyinyi. wanavunjo walimuamini na wakampa ubunge katika kinyang'anyiro kilichowahusisha CCM na chadema. sasa kelele zote za nini. You pipo be Realistic. do not be stupidy.
<br />wachangiaji wengi mna fikra mfu, mrema ni mtu huru na anauhuru wakuamua na kufanya kile anachokitaka na kukiamini. si lazima awafurahishe nyinyi. wanavunjo walimuamini na wakampa ubunge katika kinyang'anyiro kilichowahusisha CCM na chadema. sasa kelele zote za nini. You pipo be Realistic. do not be stupidy.
jimbo la vunjo alipewa zawadi na ccm kwa kucheza ndombolo kwenye mkutano wao wa nec,..walilichakachua kwa niaba yake...
wachangiaji wengi mna fikra mfu, mrema ni mtu huru na anauhuru wakuamua na kufanya kile anachokitaka na kukiamini. si lazima awafurahishe nyinyi. wanavunjo walimuamini na wakampa ubunge katika kinyang'anyiro kilichowahusisha CCM na chadema. sasa kelele zote za nini. You pipo be Realistic. do not be stupidy.