Mrejesho wa fumanizi leo

Mrejesho wa fumanizi leo

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Duh! Kweli kufumania kazi na ukifumaniwa ndio kabisa! Kwa maelezo tuliyopewa tulifika eneo la tukio mapema kabla ya muda hivyo tulikaa sehemu ambayo ni ngumu mtu anayekuja kutuona.Tukapigiwa simu na aliyetoa taarifa kuwa wapo njiani wanakuja hivyo tujiandae, kweli baada ya nusu saa akaanza mwanamke kisha mwanaume akafuata baada ya dakika kama 5 kwa maelezo tuliyopewa hatukupata tabu kumfahamu kuwa ndio yeye.

Mwanaume akaenda moja kwa moja reception akalipia na kuchukua fungo then wakaelekea ktk room,mshkaji akataka kuleta jazba nikamtuliza ili asije akaaribu.Tulitulia kwa muda wa nusu saa,ikabidi mimi niende reception kuulizia ilikuwa ngumu kupewa maelezo kwa sababu hairuhusiwi lakini penye pesa hapashindikani kitu.Aliniambia wapo room x nikawatonya wana tukapandisha ghorofa kuelekea kwenye room.

Tulimtumia yule muhudumu alienda kubisha hodi,hivyo mimi na muhusika tukazama ndani fasta wenzetu wawili wakabakia mlangoni.Tulimkuta shemeji amejifunika shuka na mwenzie ana taulo tu. Kiukweli walinywea sana tulichokifanya ni kuwavua nguo na kuanza kuwapiga picha.Tukawaita wale majamaa wawili wa nje wakaja wakafanya kazi yao bila taabu nadhani mnaelewa na picha niliendelea kupiga tulipomaliza jamaa akasema tuondoke .

Ingawa alikuwa analia sana kwa kutaja jina la mkewe.Mtanisamehe kwa mnaotaka picha kwa sasa kwa sababu muhusika hajaniruhusu niziachie na zikioneka basi ni mimi ndie niliezivujisha,mpaka sasa nipo kwa mshikaji na mkewe hajarudi bado jamaa analia tu na hapa anataka kuandika taraka ataki hata kuwaambia ndugu zake kwa sasa anadai ni aibu kubwa sana kwake.

Ndugu zangu kwa nilichokiona leo kufumania na kufumaniwa kusikie kwa mwenzio omba yasikukute.

==> Ilivyokuwa hapo mwanzo, Jamaa yangu anataka kumfumania mke wake leo
 
Kweli nimeamini ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani......... mpe pole mdau
 
inauma lakini... we hadithia ya mwenzio leo.. omba yasikukute
 
mleta mada wewe jinsia ya kike au kiume, nauliza tu kwa nia nzuri, napenda kufahamu.
 
Mleta mada kama mchicha mwiba....
 
Mmma kama chai vile...

Yaani mtu afumaniw mkewe halafu awapige picha????

Anyway binadamu tumetofautiana
 
halafu huu ushauri wa kupiga picha mbona hukuambiwa na wadau kwenye ile mada ya awali...na ushauri wote uliopewa umeupiga chini...

ndo maana mimi huwa nawachagulia watu wangu wakaribu ikiwemo bae Marafiki wakua nao

wengine ni petrol moto ukiwaka kati yenu una,uona anakuja na dumu ukadhani maji kumbe anakuja kumwagia petrol
utakuja liwa kiboga mjini hapa

acha watu wachepuke kivyao na ku deal na ndoa zao wenyewe
HAIKUHUSU
WATU WANACHEPUKA KISELA TU NA MAMBO YANAENDELEA WEWE HII UMEIFANYA IKAWA BIG DEAL NDOA YENYEWE SI YAKO
UTAJAKUNJWA KIUNO USHIKE VIDOLE
 
ndo maana mimi huwa nawachagulia watu wangu wakaribu ikiwemo bae Marafiki wakua nao

wengine ni petrol moto ukiwaka kati yenu una,uona anakuja na dumu ukadhani maji kumbe anakuja kumwagia petrol
utakuja liwa kiboga mjini hapa

acha watu wachepuke kivyao na ku deal na ndoa zao wenyewe
HAIKUHUSU
WATU WANACHEPUKA KISELA TU NA MAMBO YANAENDELEA WEWE HII UMEIFANYA IKAWA BIG DEAL NDOA YENYEWE SI YAKO
UTAJAKUNJWA KIUNO USHIKE VIDOLE

ha ha ha ha ha ha ha ha ha...hicho ndo nilichoweza kuandika...kucheka tu basi!
 
Back
Top Bottom