Mrejesho wa fumanizi leo

Mrejesho wa fumanizi leo

Bitebo7
Tunashukuru umefanya mrejesho na kazi nzuri sana. Asikudanganye mtu - umefanya kazi nzuri - haswa hiyo ya kumfira Mwizi. Ulichonisikitisha ni kuwa sijaelewa kwa nini huyu jamaa aliekuwa anaibiwa kwanini na yeye hakushiriki kumfira mwizi wake? Hapo ningependa kupata maelezo kidogo. Otherwise kazi na mrejesho ni mzuri - Big up sana.

Jamaa akutaka kufanya yeye ndio maana akawaandaa watu wawili wa kazi hiyo
 
yaan ukiwa na mume mbea kama huyu huboreki home maana hata kama kanunaje akipata umbea mahali kifua kitambana atachangamka ili akuhadithie looo

Inategemea na jambo lenyewe la kukwambia
Sio kwamba kila jambo atakuja kukwambia
 
Duh!umeona live bila chenga mtu anafumuliwa seal?haya mambo si mazuri hata kidogo bora uyasikie au kusoma kama hivi.

Yaani wewe acha tu!
Ukisikia fulani mke wa mtu basi kaa nae mbali
 
siku nyingine itakuwa zamu yako kwenda kumfumania mkeo. na huyo rafiki yako atakuwa anampiga picha mkeo na huyo mgoni wake. halafu naye atakuja kusimulia hapa JF jinsi utakavyokuwa umeumia na unavyohaha kuandika talaka. Mfumaniaji hufumaniwa pia. so jiandae.

Sijaoa na kwa hali hii ntachelewa sana kuja kuoa
 
  • Thanks
Reactions: Kig
usidiriki kufumania kama huna ubavu wa kumuacha mlengwa,...over
 
Binafsi nikupongeze kwa hatua hiyo wewe na hao jamaa zako,ndoa aliivunja huyo mwanamke toka alipoanza kuchepuka...MWANAMKE MPUMBAVU ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE
 
Mmeenda kufumania mkasubiri mpaka jamaa apige kimoja wakati mmejificha kwenye miti...myie mazuzu kweli kweli.
 
Sijaoa na kwa hali hii ntachelewa sana kuja kuoa

ndoa ni kama ajali tu. huwezi kusema sitasafiri kwa kuwa utapata ajali. hii haiwezekani, kuna wakati itakulazimu tu usafiri. ila changua gari walau yenye sifa, isiwe mbovu, dereva asiwe mlevi na anayendesha kwa kasi, konda mkarimu, mataili imara, breki zinashika, honi inapiga, service kila wakati, haina ushirikina, isyo na mashindano barabaran, haijazi abiria hadi wanasimama, gari ambayo una uhakika hata kama barabara ni mbovu lazima mfike salama. Utaijuaje hiyo basi? ni lazima ufanye uchunguzi wa kutosha na wa kina. Sio unafika stand unakuta basi inatoka halafu wewe unavutwa na wapiga debe unaingia hata hujui umepanda gari gani itakula kwako.

na ndoa ni hivo hivo. huwezi sema sitaoa/olewa kwa kuogopa kuoa au kuolewa na mchepukaji. wapo binadamu wengi sio wachepukaji. hata hivyo uwe makini ktk kuchagua na lazima ufanye uchunguzi wa kutosha na ujiridhishe. vinginevyo umekwisha
 
Binafsi nikupongeze kwa hatua hiyo wewe na hao jamaa zako,ndoa aliivunja huyo mwanamke toka alipoanza kuchepuka...MWANAMKE MPUMBAVU ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE

Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom