Mrejesho wa fumanizi leo

Mrejesho wa fumanizi leo

Kuna FAIDA gani ya KUFUMANIA afu unaanza kulia?? MWANAMKE JALALA kila baya na zuri analo angalieni kbl hamjaoa mchague MAJALALA mazuri.
 
umefurahi hivo kwa kua umekula 071 ya mwanaume mwenzio pia
 
siku nyingine itakuwa zamu yako kwenda kumfumania mkeo. na huyo rafiki yako atakuwa anampiga picha mkeo na huyo mgoni wake. halafu naye atakuja kusimulia hapa JF jinsi utakavyokuwa umeumia na unavyohaha kuandika talaka. Mfumaniaji hufumaniwa pia. so jiandae.
 
yaan ukiwa na mume mbea kama huyu huboreki home maana hata kama kanunaje akipata umbea mahali kifua kitambana atachangamka ili akuhadithie looo
 
huyo jamaa yako naye hazimo uone mke anaingia badala ulianzishe hapohapo unasubir akashikwe ziwa kwanza alaa
 
duh! Kweli kufumania kazi na ukifumaniwa ndio kabisa! Kwa maelezo tuliyopewa tulifika eneo la tukio mapema kabla ya muda hivyo tulikaa sehemu ambayo ni ngumu mtu anayekuja kutuona.tukapigiwa simu na aliyetoa taarifa kuwa wapo njiani wanakuja hivyo tujiandae, kweli baada ya nusu saa akaanza mwanamke kisha mwanaume akafuata baada ya dakika kama 5 kwa maelezo tuliyopewa hatukupata tabu kumfahamu kuwa ndio yeye.

Mwanaume akaenda moja kwa moja reception akalipia na kuchukua fungo then wakaelekea ktk room,mshkaji akataka kuleta jazba nikamtuliza ili asije akaaribu.tulitulia kwa muda wa nusu saa,ikabidi mimi niende reception kuulizia ilikuwa ngumu kupewa maelezo kwa sababu hairuhusiwi lakini penye pesa hapashindikani kitu.aliniambia wapo room x nikawatonya wana tukapandisha ghorofa kuelekea kwenye room.

Tulimtumia yule muhudumu alienda kubisha hodi,hivyo mimi na muhusika tukazama ndani fasta wenzetu wawili wakabakia mlangoni.tulimkuta shemeji amejifunika shuka na mwenzie ana taulo tu. Kiukweli walinywea sana tulichokifanya ni kuwavua nguo na kuanza kuwapiga picha.tukawaita wale majamaa wawili wa nje wakaja wakafanya kazi yao bila taabu nadhani mnaelewa na picha niliendelea kupiga tulipomaliza jamaa akasema tuondoke .

Ingawa alikuwa analia sana kwa kutaja jina la mkewe.mtanisamehe kwa mnaotaka picha kwa sasa kwa sababu muhusika hajaniruhusu niziachie na zikioneka basi ni mimi ndie niliezivujisha,mpaka sasa nipo kwa mshikaji na mkewe hajarudi bado jamaa analia tu na hapa anataka kuandika taraka ataki hata kuwaambia ndugu zake kwa sasa anadai ni aibu kubwa sana kwake.

Ndugu zangu kwa nilichokiona leo kufumania na kufumaniwa kusikie kwa mwenzio omba yasikukute.

==> ilivyokuwa hapo mwanzo, jamaa yangu anataka kumfumania mke wake leo
zamani tuliambiwaga kwenye nyumba ile usioe au ukoo fulani usioe au familia fulani au binti fulani.sasa hivi watu wanaoa shepu na sura lakini tabia ndio hizooo
 
Bora aachane nae hataacha kuchepuka huyo bibiye,ukionja nyama ya mtu huwezi kutorudia kuionja
 
Bitebo7
Tunashukuru umefanya mrejesho na kazi nzuri sana. Asikudanganye mtu - umefanya kazi nzuri - haswa hiyo ya kumfira Mwizi. Ulichonisikitisha ni kuwa sijaelewa kwa nini huyu jamaa aliekuwa anaibiwa kwanini na yeye hakushiriki kumfira mwizi wake? Hapo ningependa kupata maelezo kidogo. Otherwise kazi na mrejesho ni mzuri - Big up sana.
 
hehe, wapemba kwa mitaro ni balaa!! can't help but laugh, duh!!
 
Kwa hiyo hao wanaume ndiobwakaingia kumdo mke au lover wake?

Hii mitandao inafundisha watu tabia mbaya, kwani mkewe alikuja ndani kwake kumvuta

Embu kaa na hizo picha ufurahie mwenyewe na mkirusha mnalo

Sheria imepitishwa.
 
Mapungufu yake yamevuka mipaka

Mlimuuliza kama anajua kuwa shemejio ni mke wa mtu? Wanawake wengi udanganya pia.

Kweli umekaa na kuangaliwa akidoiwa huyo mkaka? Imewapa raja gani sasa wakati mwenzio ndio msiba anao?
 
Bitebo7
Tunashukuru umefanya mrejesho na kazi nzuri sana. Asikudanganye mtu - umefanya kazi nzuri - haswa hiyo ya kumfira Mwizi. Ulichonisikitisha ni kuwa sijaelewa kwa nini huyu jamaa aliekuwa anaibiwa kwanini na yeye hakushiriki kumfira mwizi wake? Hapo ningependa kupata maelezo kidogo. Otherwise kazi na mrejesho ni mzuri - Big up sana.

hahahahaha wew hapa kweli umeweka unafki pembeni

big up mkuu
 
Mujini musingi kiunoooo ukishatendwa ndio baibaiii🎶🎼🎹🎷
 
Ungekua na busara ungemshauri rafikiyako akae namkeo amkanye haya sasa mke wake hajarudi unajuaje kama amejiua nafsi zenu mtajisikiaje atawaacha wangapi kila mtu anamapungufu

Wazungumze nini? Uzinzi wa mke wa ndoa kulala na mwanaume mwingine na ushahidi upo?
 
Bora aachane nae hataacha kuchepuka huyo bibiye,ukionja nyama ya mtu huwezi kutorudia kuionja

Ni kweli kabisa mkuu,Mwanaume tahira tu ndio ataweza kubembelezwa yaishe...halafu baadaye mwanamke ataenda tena kwa jamaa
 
Kwa hiyo hao wanaume ndiobwakaingia kumdo mke au lover wake?

Hii mitandao inafundisha watu tabia mbaya, kwani mkewe alikuja ndani kwake kumvuta

Embu kaa na hizo picha ufurahie mwenyewe na mkirusha mnalo

Sheria imepitishwa.

Ungejua watu wanatumiana kwa whatsapp mpaka muda huu bidada,
 
Back
Top Bottom