kama unajua huwezi kuhimili ukweli kwa nini unafumania?
kama unajua huwezi kumuacha mpenzio kwa nini unafumania?
mambo ya kujipa presha siyawezi bora kila mtu ale hamsini zake
Kama yy kala mke wa mtu utafanyaje?.....ukisikia mke wa mtu sumu sio kwamba ukimla unakufa lah hasha....Ni kwamba ukidakwa adhabu zake ni kali sana zinauma kuliko hata sumu yenyew
unajua kwanini jamaa analia?
ulichelewesha sana fumanizi mpaka nusu saa jamaa jamaa akamfumua wife
palepale walipozama na nyie mngezama labda uchungu wa kuchapiwa ungepungua
Na Talaka isingetoka
na ungemuokoa jamaa yenu asifumuliwe marinda
sijui km una Dhambi kwa kushiriki KOSA hilo ?
au KOSA LA JINAI kwa kushiriki utekaji (kufumania na muRetain jamaa)
Ungekua na busara ungemshauri rafikiyako akae namkeo amkanye haya sasa mke wake hajarudi unajuaje kama amejiua nafsi zenu mtajisikiaje atawaacha wangapi kila mtu anamapungufu
Ungekua na busara ungemshauri rafikiyako akae namkeo amkanye haya sasa mke wake hajarudi unajuaje kama amejiua nafsi zenu mtajisikiaje atawaacha wangapi kila mtu anamapungufu
Uamuzi mliomfanyia huyu jamaa sio mzuri hata kidogo ya nini kumfanyia unyama huo ilihali ni mwanaume mwenzio wakat hata muhusika pengine ashatembea na wake wa watu binafsi nalaani vikali kitendo hicho ila afadhali mngempiga picha za kumdhalilisha na kuzihifadhi kisha kumruhusu aende na hapo mume angeweza msamehe mke na hakika asingerudia tena hata kama mume angepata kisukari
huyo jamaa hasira atakayokuwa nayo atalipa kisasi cha kimafia na usisahau kuleta taarifa
Mmefanya kosa la jinai, hiyo ni kesi ya kubaka hukumu yake ni kifungo cha maisha jela, kwahio we kaa hapa ujisifie kesho na keshokutwa kwakuwa umezoea kushabikia mambo yasiokuhusu na wewe utakwenda kuliwa mavi Segerea, shauri yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.