Mrejesho wa connection za wataalam(waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe HESHIMA YAKE

Jaman naomba nije inbox kuna elimu nataka
mkuu naomba unitumie namba pm ya huyo mtaalam ninashida kwakwel
mkuu nime kupm
 
Sasa mkuu huu wa punje kumbe tena una ambatana na masharti mengine?mm nikajua Kwa vile ni kujitoa kimkataba hatuna cha ziada?
 
Una kichaaa wewe,hao waganga wenyewe ndio hawataki utajiri??? Si wangeanza kijitajirisha wao kwanza??? Pambana hizo Hela unazopeleka Kwa waganga geuza zowe mtaji,halafu huna nyota ya utajiri yaaan wewe itakufa na Hela za mboga tuuuuu
 
Kaka nicheck pm
 
Nini kilikuzuia kujiunga freemason?
 
Mwanza sehemu gani na yeye amajikita kwenye utajiri wa masharti yapi?
Shafii the Don nakipa Hadi namba yake uwe na m 3,anachinja ng'ombe anazikwa mzima funza ndo mpango mzima mimi niliahirisha alikuja hapa Vamous
 
Kuna mganga aliwahi kuniambia hizi dawa nakupa,Mungu akusaidie mambo yako yakae sawa..nilivyotoka kwake nikajiuliza kumbe mganga nae anamtegemea Mungu sasa kwa nini nisimuombe Mungu me mwenyewe ,ile midawa yake nikaitupa palepale
 
Kuna mganga aliwahi kuniambia hizi dawa nakupa,Mungu akusaidie mambo yako yakae sawa..nilivyotoka kwake nikajiuliza kumbe mganga nae anamtegemea Mungu sasa kwa nini nisimuombe Mungu me mwenyewe ,ile midawa yake nikaitupa palepale
CHAI.
 
Hii ni kwel mkuu Mimi nimewapa wengi namba ya bibi wa dawa ya vidonda vya tumbo na matatizo ya kupata Mimba ajabu hawalet mrejesho hatakusema thanks jamani duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…