Mrejesho wa Albadiri

Mrejesho wa Albadiri

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
773
Reaction score
517
Wakuu nataka kujua ni mikoa gani iliyohusika kufanya ALBADIRI leo maana nilikuwa nasikiliza radio cloudsFM kipindi cha Jahazi Leo jioni. Nime msikia Shehe wa Tanga aliye semekana ataongoza kufanya Albadiri kwa mkoa wa Tanga akikanusha taarifa hizo za yeye kufanya albadiri kwa wale wote walio husika kumpiga risasi Mh. Lisu.

Je ni kweli albadari imefanyika Leo kwenye mikoa mingine, njooni tujuzane mikoa iliyofanya albadiri Leo.


..........NAWASILISHA.......
 
IMG-20170915-WA0007.jpg
picha hii imeambatana na nyingine (ambazo siwezi kuzipamdisha hapa kwasbabbu sijazithibitisha kama kweli ni za tukio hili ama la) zimetumwa huko wasap...!!!
 
Albadiri?Rekebisheni Lugha,na wengine waislam hata hawaijua inavyotamkwa,kaazi kweli
Ndio lugha gani hiii.

Hivi mnafikiria waislam ni mazuzu kiasi hiki?Makanisa yamekaa kimyaaa,ila mazuzuti ndio wanajifanya kibembelembele.

Wawaulzie CUF kama walipata chochote zaidi ya balaa kurudia kwao.
Na wengine wanatafuta kiki za Uganga wa Kienyeji tu hapo,kwenye Tukio huku watu watapiga pesa.Basi likitokea hambo tu watatajwa Waislam hata kama ni la kawaida halihusiani na ushirikina huo.
 
Back
Top Bottom