Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Chipc ni nini?
 
Pole sana mkuu wanafunzi wa vyuo vikuu inatakiwa kuungana sasa kudai haki hii ya mikopo ili kupata elimu. DARUSO wameanza.
 
Kwa hiyo ni mpaka ujue mkopo umepewa kias gan ndio mtu afanye registration , kwa hiyo waliowah wamerud nyumban ambao hawajui mkopo kias gan wamepata
 
Mbaba hali ni ngumu mpaka miaka kumi kuisha tutakuwa tumezisoma namba zote mpaka zimeisha tunaanza tena kupiga addition
 
Kula chips tuu ukirudi mwaka wa tatu watakaopangisha jirani na wewe ukioa watashangilia maana ndo hivyo tena
 
Bora umeenda mkoa Jomba, wa mikoani wengi wanataman kwenda chuo dar ila hawajui maisha yalivyo magumu dar..na hizi sarakasi za baba jeeeeeeesca lazima mifugo iongezeke corner bar
Mkuu uminikumbusha maparachichi..huko kibao
Waje udom wali wa buku maeneo ya UJASI wanakuwekea kila kitu yaani mchuzi, maharage, mchicha na nyama... Kama uli nyama kuna dagaa bila kusahau maji ni bure ya kuchemsha.... Sasa nashangaa vijana wanakomaa na Dar hamie Dodoma na kwa Mia Mbili hizo mtaisoma namba hata chenza ununui
 
Hapa ndipo masikini anaposaidiwa na masikini mwenzake!! Kwa wale wa UDOM wale wamama wa ujasi huwalisha wanafunzi kwa bili mpaka pale wapatapo boom! Hata ikiwa miezi miwili, ila tu uwe mwaminifu!!
Pamoja mkuu UJASI for real Wali nyama buku na maji bureeeee
 
Waje udom wali wa buku maeneo ya UJASI wanakuwekea kila kitu yaani mchuzi, maharage, mchicha na nyama... Kama uli nyama kuna dagaa bila kusahau maji ni bure ya kuchemsha.... Sasa nashangaa vijana wanakomaa na Dar hamie Dodoma na kwa Mia Mbili hizo mtaisoma namba hata chenza ununui
Hapo ktk rangi kidogo nahisi chumvi imeongezwa
 
Wewe ni first year eeh..... Basi kwa kifupi MM sio first year umewrong quote bro.... Nenda ukaripot usajiliwe
Ata kama sio first year mwendo n ule ule utalipwa kulingana na asilimia.
Cje ukajikuta unapokea mia sita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom