Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Habari wakuu,
Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .
Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa