Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Hivi Mbeya nako kuna chuo kikuu cku hizi? Enzi zetu chuo kikubwa kilikuwa Mbeya tech (MTC)...
 
Acheni kumponda jamaa kuhusu ulaji wake wa Chipsi, Wengine mnakura nguna lakini hata robo saa hamfiki na wake zenu , smh
 
Nimesoma art HGL sasa hivi nasoma Tourism second year lakini nina mkopo 98%. Sasa wewe first year unayesema umesoma science endelea kusubiri mkopo.....
mkopo ni bahati ya mtu unaweza ukasoma sayansi na ukakosa vilevile mimi sishangai art kupata 98% maana kila mtu na bahati yake
 
Jamani nimechaguliwa SUA bachelor of science with education. Niliapply mkopo, ni yatima lakini cha ajabu bodi ya mikopo wameninyima mkopo sasa sijui nifanyeje maaanake niko moro hapa na chuo bila kulipa ada no registration na inasemekana hakuna batch jingine. Sasa sijui nifanyeje USHAURI plz!
Ulichaguliwa kwenye first batch au second batch? Nadhani waliochagulia second batch watapewa mkopo second batch.
Vuta subira second batch itoke. Usipopata wasiliana na Dean of students akuelekeze namna ya kukata rufaa bodi ya mikopo.
Ila hakikisha ulifuata taratibu zote za kuomba mkopo na jina lako halikuwepo miongoni mwa wale waliokuwa na kasoro kadhaa kwenye form zao, na kama lilikuwemo ulisharekebisha.
 
Bora umeenda mkoa Jomba, wa mikoani wengi wanataman kwenda chuo dar ila hawajui maisha yalivyo magumu dar..na hizi sarakasi za baba jeeeeeeesca lazima mifugo iongezeke corner bar
Mkuu uminikumbusha maparachichi..huko kibao
hahahaa mifugo
 
Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Jamaa Pumba Mingi anatafuta kiki maana hanaga mipaka hadi misibani...subilin ataropoka hivi karibuni
 
Nimesoma art HGL sasa hivi nasoma Tourism second year lakini nina mkopo 98%. Sasa wewe first year unayesema umesoma science endelea kusubiri mkopo.....
Mwambie huyo maana MM mwenyewe ka kanishinda maybe ni first year huyo
 
Jamani nimechaguliwa SUA bachelor of science with education. Niliapply mkopo, ni yatima lakini cha ajabu bodi ya mikopo wameninyima mkopo sasa sijui nifanyeje maaanake niko moro hapa na chuo bila kulipa ada no registration na inasemekana hakuna batch jingine. Sasa sijui nifanyeje USHAURI plz!
Nenda bodi ya mkopo na uthibitisho wa hayo unayoyasema uka appeal, inawezekana 85% ukapata mkopo, pili omba ndugu wakusaidie ikishindikana vyote hairisha chuo utafute shughuli nyingine ya kufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom