Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Mkopo wamekupa lakn?
Utulie sasa usianze uzinz na kukesha baa
 
Usikate tamaa watatoa tu batch nyingine jipe MOYO utayashinda.Ila kiukweli Mimi napatwa na hasira sana
 
Umeenda kula au kusoma? Angalia chips hizo ukija dar watu watakuangalia kwa nyuma kilasiku usishangae
 
Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Hongera zako mkuu. Ngoja wale wa Dar na kwingineko waendelee kuumia. CCM oyeeeeeee!
 
Jamani nimechaguliwa SUA bachelor of science with education. Niliapply mkopo, ni yatima lakini cha ajabu bodi ya mikopo wameninyima mkopo sasa sijui nifanyeje maaanake niko moro hapa na chuo bila kulipa ada no registration na inasemekana hakuna batch jingine. Sasa sijui nifanyeje USHAURI plz!
Rudi tu...
 
Mkopo wamekupa lakn?
Utulie sasa usianze uzinz na kukesha baa
mkopo sijapata jomba ila nimejiongeza mimi mwenyewe tu ndo tupo tunafanya registration hapa ya hamna story zingine za wanafunzi hapa chuoni zaidi ya story za bodi ya mkopo na kuhusu kukesha baa na uzinzi mkuu sinaga hizo mambo aise situmii kilevi cha aina yoyote jomba.NAMWOGOPA MUNGU.
 
Hongera zako mkuu. Ngoja wale wa Dar na kwingineko waendelee kuumia. CCM oyeeeeeee!
Yani mkuu huku simple tu kama unajua kutumia hela vizuri aise unaishi bila wasi wasi.wali maharage mia saba tu nakula mpaka nakibakisha then naomba mfuko anifungie uliobaki naumalizia usiku maisha yanaenda.
 
Mwaka jana miezi kama hii mlikuwa mnashingiliaa.....na kuimba acha waisome number eeeee Ccm mbele kwa mbele.....bathi tuendelezeee wimbo wetuu mzuri sana
 
Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Kumbe unawaza chips, nikajua unajiongeza kwa kutafuta plan B,
Etiii ooooh chips Maji bei rahisi cjui nn
Acha ubwege [emoji2] [emoji1] [emoji1]
 
isaack serikali haina pesa..mmeambiwa mlioomba mkopo ni 88,000 wao heslb wanatoa kwa wanafunzi 21,000 ambao ndo kipaumbele chao kutokana na taaluma wanazoenda kusomea.nadhani ni wanafunz wa mambo ya sayansi...mntarajia nini?
SERIKALI HAINA PESA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom