Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

hongera,wa dar na moro tunashindia azam biskuti na juice kola
Kumbe unakula vitu vizuri tu. Nakumbuka akat naanza chuo nilikuwa nanunua mkate wa buku nakula siku tatu kwa maji ya kudownload
 
Kuwa kama unapiga push-up alafu sema "kidumu chama cha mapinduziiiiiii...."
 
"Yaani mimi ktk Serikali yangu Mwanafunzi anapangiwa chuo ana sifa zote halafu una mnyima MKOPO?"

Watu wanakumbuka KAULI HIZI"
 
Jamani nimechaguliwa SUA bachelor of science with education. Niliapply mkopo, ni yatima lakini cha ajabu bodi ya mikopo wameninyima mkopo sasa sijui nifanyeje maaanake niko moro hapa na chuo bila kulipa ada no registration na inasemekana hakuna batch jingine. Sasa sijui nifanyeje USHAURI plz!
 
Hapa ndipo masikini anaposaidiwa na masikini mwenzake!! Kwa wale wa UDOM wale wamama wa ujasi huwalisha wanafunzi kwa bili mpaka pale wapatapo boom! Hata ikiwa miezi miwili, ila tu uwe mwaminifu!!
Kaka umesema kweli,mimi nakula sana ujasi mzigo usipotoka yani wale wamama Mungu awabariki tu
 
Jamani nimechaguliwa SUA bachelor of science with education. Niliapply mkopo, ni yatima lakini cha ajabu bodi ya mikopo wameninyima mkopo sasa sijui nifanyeje maaanake niko moro hapa na chuo bila kulipa ada no registration na inasemekana hakuna batch jingine. Sasa sijui nifanyeje USHAURI plz!
Piga pasi ndefu tu maana hamna namna sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom