Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

Ata kama sio first year mwendo n ule ule utalipwa kulingana na asilimia.
Cje ukajikuta unapokea mia sita
Ukiambiwa mtu kwenye ada alipi chochote ww kwa uelewa wako unadhani hatakuwa na % ngapi... Lol
 
Nan kakwambia mm art ,
Art c bora ningeacha kusoma kulko.kusoma art.
Yan nisome misimu miaka miwil itakua n kichaa kikubwa.
Umeona sasa unadharau arts.... Kweli wewe povu la mbuni mi nataka la omo
 
Ujinga wa Dar waletwa mikoani sasa..!!
 
Habari wakuu,

Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK .

Uzuri wa huku mbeya life is cheap tofauti na Dsm yani nimepata chumba miezi minne kodi 90000 pamoja na maji na umeme chakula ndo usiseme chipc buku lundo wanakujazia mpaka lumbesa
Mbeya gan io
 
mliosoma art wote ndio maboya.
Na ndio weng makelele tu kuhusu mikopo
Nimesoma art HGL sasa hivi nasoma Tourism second year lakini nina mkopo 98%. Sasa wewe first year unayesema umesoma science endelea kusubiri mkopo.....
 
90000 UMEME MAJI NA KODI FOUR MONTH SIO KWELI ME NI MWENYEJI HAPA IYO UMETUDANGANYA AISEE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom