Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

Wenzetu wanachukulia ngono kama sport,
Kwako altaka ngono kushusha hamu zake na wala hakutaka mapenz ya kudumu. Hao watu wapo wazi sana hasa kwenye ngono, sasa wewe hukumuelewa anataka nini. Si ajabu siku moja akaomba mpige kolabo/ 3some na boyfriend wake.
 
wakuu nawasalim wote,

takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
na nikawaeleza kuwa tumekua tukitoka outing na kufanya vitu vingi kama wapenzi, kiasi kuwa kazini watu wakadhan nimeshamlamba mmexico
naomba mrejee habari hiyo

wengi wenu mlinishauri nisithubutu kumtaka kimapenzi kwamba wazungu wengi ni social sana, nikifanya hivyo naweza haribu kazi ukizingatia ni bosi wangu kazini

mrejesho wenyewe:-

nilitii maelekezo yenu sikumtamkia neno lolote kuhusu mapenzi hadi siku moja jumamosi aliponituma nikamchukulie zile burger za bonjour morocco zilizoamia leaders club huwa anazipenda sana.

Niliporudi kwake na burger nilimkuta na taulo tu akijiandaa kwenda kuoga, nilishindwa kujizuia, uchu mkali sana uliniingia, shetani akanishawishi nijilipue, bahati nzuri nilipojilipua akanipokea kwa mikono miwili tukawa tumejuana kimwili.

Nilifurahi sana nikajua nimeshaukata, tuliendelea wiki yote iliyofuata maana alisema alikua na kiu sana siku nyingi hajafanya hivyo

hata hivyo furaha yangu imekua short lived, siku moja nastukia ananiambia twende airport tukampokee boyfriend wake anakuja kutoka america nilipigwa na butwaa, maana nilijua mm ndio nimeshakua boyfriend wake,

wana jf kwa kifupi hilo jitu lake kutoka amerika tangu limekuja sina raha, linakuja kazini kwetu wanabusiana hapo, yule dada kalitambulisha hilo zungu kazini kwetu, sasa watu wananitazama wanachekea pembeni nimegeuka laughing stock

juzi jumapili yule bosi wangu ameniita nyumbani kwake nikawakuta kwenye kochi wakiwa wanakumbatiana, surprisingly lile jitu eti linaniambia niwapeleke wakapaone zanzibar weekend ijayo, dharau kiasi gani hii?

Nashindwa kuleta chokochoko kwa kuwa yule dada ni bosi wangu, nilitegemea yy ndie awe na busara azuie huyo jamaa asije kwa kuwa tayari yupo tayari na mm lakini ni kama amenipotezea.

Wakati mara zote tulipokutana alidai mm ndie fundi kuzidi wengine wote, nashindwa hata kumwelewa.huu si uhuni kabisa ndugu zangu!!!

Yaani hata kwenda kazini ikifika asubuhi najiuliza mara mbili mbili, nampenda sana huyu mmexico kumbe nae hajatulia.na wanawake wa kiswahili nao nashindwa hata kuwaelewa jumamosi nimeenda kwa yule demu wangu wa kiswahili ili tuweze ku reconcile maana kwa karibu miezi miwili hatukua pamoja, cha kushangaza anadai eti amesha move on, yaani mtu miezi 2 umeshapata mpenzi mpya?
Na wakati alikua ananililia kila siku nisimwache

nimechanganyikiwa sana kwa kweli, nianze tu mchakato wa kutafuta kampuni nyingine nihame pale

ina maana huyu mzungu hawezi kuona ni jinsi gani ameniumiza? Ina maana hilo jitu lake likiondoka ataendelea tena na mimi au?

Mtu kwa karibu miezi minne tangu kuja kwake nimeacha shughuli zangu zote na kumzungusha yeye na kuwa karibu nae kwa kila hali na hadi kufikia kuwa wapenzi, nimeacha kwenda kwenye shuguli za kijamii, misiba, harusi na kadhalika kwa ajili yake, leo limekuja hilo jamaa lake hata kunibembeleza tu hamna, hata kunieleza kuhusu hatma yetu hamna.

Can someone help
what should i do?

no greater love
 
Wabongo wengi si wanawake si wanaume uwa tunawehuka sana tukiwaona wazungu, ila tabia halisi za watu hao ndio kama hivo ulivokutananayo, nakumbuka tulikuwa na mjapan mrembo sana kana shape mzuri lakini muhuni balaa, yani ofisini anakuja kuuliziwa mpaka na waosha magari tu, so nadhani ni uchu wake uliompelekea kwako lakini hukuwa chaguo lake, wapeleke tu zanzibar kiroho safi
 
Kwanza, wa-Mexicano nao ni wazungu? Oh wait...kibongo bongo hata Waarabu ni wazungu. I get it.

Pili, we bana hebu endelea na maisha yako. Kubali tu matokeo kuwa umetumika kama mchepuko, basi.

Hilo nalo ni jambo la kuja kuomba ushauri humu? Mbona liko dhahiri kabisa...
Usitushangae watz, hata mpakistan ni mhindi.
 
Huyo girlfriend wako wa kiswahili ana akili sana. Let her move on. You are heartless.
How can you do that? Umekatwa huku unahamia huku? Man grow up...learn to keep your iron rod under control.
Start over again with your mind settled. Wazungu wazungu....wazungu kitu gani?

Yani me mwenyewe nimempenda sana huyo binti. Maana huyu asingemkumbuka binti wa watu kama sio mmexico wake kuzingua
 
Wakuu nawasalim wote,

Takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki Mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
Na nikawaeleza kuwa tumekua tukitoka outing na kufanya vitu vingi kama wapenzi, kiasi kuwa kazini watu wakadhan nimeshamlamba mmexico
Naomba mrejee habari hiyo

Wengi wenu mlinishauri nisithubutu kumtaka kimapenzi kwamba wazungu wengi ni social sana, nikifanya hivyo naweza haribu kazi ukizingatia ni bosi wangu kazini

Mrejesho wenyewe:-

Nilitii maelekezo yenu sikumtamkia neno lolote kuhusu mapenzi hadi siku moja jumamosi aliponituma nikamchukulie zile burger za bonjour morocco zilizoamia leaders club huwa anazipenda sana.

Niliporudi kwake na burger nilimkuta na taulo tu akijiandaa kwenda kuoga, nilishindwa kujizuia, uchu mkali sana uliniingia, shetani akanishawishi nijilipue, bahati nzuri nilipojilipua akanipokea kwa mikono miwili tukawa tumejuana kimwili.

Nilifurahi sana nikajua nimeshaukata, tuliendelea wiki yote iliyofuata maana alisema alikua na kiu sana siku nyingi hajafanya hivyo

Hata hivyo furaha yangu imekua short lived, siku moja nastukia ananiambia twende airport tukampokee boyfriend wake anakuja kutoka America nilipigwa na butwaa, maana nilijua mm ndio nimeshakua boyfriend wake,

Wana Jf kwa kifupi hilo jitu lake kutoka amerika tangu limekuja sina raha, linakuja kazini kwetu wanabusiana hapo, yule Dada kalitambulisha hilo zungu kazini kwetu, sasa watu wananitazama wanachekea pembeni nimegeuka laughing stock

Juzi jumapili yule bosi wangu ameniita nyumbani kwake nikawakuta kwenye kochi wakiwa wanakumbatiana, surprisingly lile jitu eti linaniambia niwapeleke wakapaone Zanzibar weekend ijayo, dharau kiasi gani hii?

Nashindwa kuleta chokochoko kwa kuwa yule Dada ni bosi wangu, nilitegemea yy ndie awe na busara azuie huyo jamaa asije kwa kuwa tayari yupo tayari na mm lakini ni kama amenipotezea.

Wakati Mara zote tulipokutana alidai mm ndie Fundi kuzidi wengine wote, nashindwa hata kumwelewa.Huu si uhuni kabisa ndugu zangu!!!

Yaani hata kwenda kazini ikifika asubuhi najiuliza Mara mbili mbili, nampenda sana huyu mmexico kumbe nae hajatulia.Na wanawake wa kiswahili nao nashindwa hata kuwaelewa Jumamosi nimeenda kwa yule demu wangu wa kiswahili ili tuweze Ku reconcile maana kwa karibu miezi miwili hatukua pamoja, cha kushangaza anadai eti amesha move on, yaani mtu miezi 2 umeshapata mpenzi Mpya?
Na wakati alikua ananililia kila siku nisimwache

Nimechanganyikiwa sana kwa kweli, nianze tu mchakato wa kutafuta kampuni nyingine nihame pale

Ina maana huyu mzungu hawezi kuona ni jinsi gani ameniumiza? Ina maana hilo jitu lake likiondoka ataendelea tena na mimi au?

Mtu kwa karibu miezi minne tangu kuja kwake nimeacha shughuli zangu zote na kumzungusha yeye na kuwa karibu nae kwa kila hali na hadi kufikia kuwa wapenzi, nimeacha kwenda kwenye shuguli za kijamii, misiba, harusi na kadhalika kwa ajili yake, Leo limekuja hilo jamaa lake hata kunibembeleza tu hamna, hata kunieleza kuhusu hatma yetu hamna.

Can someone help
What should i do?
Jamaa wewe utakuja kufa. Kwanza huyo mmexico siyo mzungu. Na tabia za wamexico zipo kama za wabongo. Yaani ni opportunistic. Wewe ulivyochapika hivyo usitegemee kuwa naye, labda kupoteza muda. Pili mwenzako hapo kaja kwa dili za kuuza madawa ya kulevya, usikute huyo jamaa ndiyo mchonga dili. Usije ingizwa kwenye madawa ikaja sababisha kifo.
 
fanya maisha yako yeye katulize genye zake we endelea na maisha .. yawezekana pia aliomba ruhusa kwa bf wake kuwa umchape nao..
 
ulitupa cha zamani kipya kimevunjika anza upya uyo mmexsko wako alikufanya ukawa na eka eke mno mjini ndo muda wa kuyafurahia matunda ya uamuzi wako
 
Jamaa wewe utakuja kufa. Kwanza huyo mmexico siyo mzungu. Na tabia za wamexico zipo kama za wabongo. Yaani ni opportunistic. Wewe ulivyochapika hivyo usitegemee kuwa naye, labda kupoteza muda. Pili mwenzako hapo kaja kwa dili za kuuza madawa ya kulevya, usikute huyo jamaa ndiyo mchonga dili. Usije ingizwa kwenye madawa ikaja sababisha kifo. Pia wazungu miili yao ina harufu je umempendea nini???? Nawachukia sana mie, huwezi kuwalinganisha na watu weusi.
Mpendwa.., umemshauri vizuri na kumonya kuhusu drugs !! Lakini wewe umekubuhu kwa UBAGUZI !! Yaani umepika chakula kizuri ukakimwagia mchanga!!
Hulka zetu wote hufanana (mwanaadamu hakukamilika) !!!
 
wewe kuwa muwazi. pale hujampenda huyo mzungu ila unasukumwa na tamaa ya kwenda ughaibuni. jipange uende kimpango wako kuendelea kulaumu ni kuendelea kutuonyesha wewe ni mdhaifu (huna pesa) kwa kiasi gani. muda si mrefu utaitwa mariooo.
 
Wakuu nawasalim wote,

Takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki Mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
Na nikawaeleza kuwa tumekua tukitoka outing na kufanya vitu vingi kama wapenzi, kiasi kuwa kazini watu wakadhan nimeshamlamba mmexico
Naomba mrejee habari hiyo

Wengi wenu mlinishauri nisithubutu kumtaka kimapenzi kwamba wazungu wengi ni social sana, nikifanya hivyo naweza haribu kazi ukizingatia ni bosi wangu kazini

Mrejesho wenyewe:-

Nilitii maelekezo yenu sikumtamkia neno lolote kuhusu mapenzi hadi siku moja jumamosi aliponituma nikamchukulie zile burger za bonjour morocco zilizoamia leaders club huwa anazipenda sana.

Niliporudi kwake na burger nilimkuta na taulo tu akijiandaa kwenda kuoga, nilishindwa kujizuia, uchu mkali sana uliniingia, shetani akanishawishi nijilipue, bahati nzuri nilipojilipua akanipokea kwa mikono miwili tukawa tumejuana kimwili.

Nilifurahi sana nikajua nimeshaukata, tuliendelea wiki yote iliyofuata maana alisema alikua na kiu sana siku nyingi hajafanya hivyo

Hata hivyo furaha yangu imekua short lived, siku moja nastukia ananiambia twende airport tukampokee boyfriend wake anakuja kutoka America nilipigwa na butwaa, maana nilijua mm ndio nimeshakua boyfriend wake,

Wana Jf kwa kifupi hilo jitu lake kutoka amerika tangu limekuja sina raha, linakuja kazini kwetu wanabusiana hapo, yule Dada kalitambulisha hilo zungu kazini kwetu, sasa watu wananitazama wanachekea pembeni nimegeuka laughing stock

Juzi jumapili yule bosi wangu ameniita nyumbani kwake nikawakuta kwenye kochi wakiwa wanakumbatiana, surprisingly lile jitu eti linaniambia niwapeleke wakapaone Zanzibar weekend ijayo, dharau kiasi gani hii?

Nashindwa kuleta chokochoko kwa kuwa yule Dada ni bosi wangu, nilitegemea yy ndie awe na busara azuie huyo jamaa asije kwa kuwa tayari yupo tayari na mm lakini ni kama amenipotezea.

Wakati Mara zote tulipokutana alidai mm ndie Fundi kuzidi wengine wote, nashindwa hata kumwelewa.Huu si uhuni kabisa ndugu zangu!!!

Yaani hata kwenda kazini ikifika asubuhi najiuliza Mara mbili mbili, nampenda sana huyu mmexico kumbe nae hajatulia.Na wanawake wa kiswahili nao nashindwa hata kuwaelewa Jumamosi nimeenda kwa yule demu wangu wa kiswahili ili tuweze Ku reconcile maana kwa karibu miezi miwili hatukua pamoja, cha kushangaza anadai eti amesha move on, yaani mtu miezi 2 umeshapata mpenzi Mpya?
Na wakati alikua ananililia kila siku nisimwache

Nimechanganyikiwa sana kwa kweli, nianze tu mchakato wa kutafuta kampuni nyingine nihame pale

Ina maana huyu mzungu hawezi kuona ni jinsi gani ameniumiza? Ina maana hilo jitu lake likiondoka ataendelea tena na mimi au?

Mtu kwa karibu miezi minne tangu kuja kwake nimeacha shughuli zangu zote na kumzungusha yeye na kuwa karibu nae kwa kila hali na hadi kufikia kuwa wapenzi, nimeacha kwenda kwenye shuguli za kijamii, misiba, harusi na kadhalika kwa ajili yake, Leo limekuja hilo jamaa lake hata kunibembeleza tu hamna, hata kunieleza kuhusu hatma yetu hamna.

Can someone help
What should i do?

Wanaume kama majipu vile. Unamlaumu demu wako amekuacha we ulitakaje? Akusubiri aje kukupa pole ya kupigwa chini halafu muendelee,? Duu. Mzungu angekukubali wewe ungekumbuka kwamba uliachs mtu? Mnapenda kuwachukukia wadada for granted. Yaani hata kwa mskosa yako mwenyewe unamlaumu bure mtu ambaye hata hahusiki. SHAME ON U!""" UTAKULA JEURI YAKO NASHUKURU MUNGU AMENIEPUSHA NAWE. BYE
 
Mpendwa.., umemshauri vizuri na kumonya kuhusu drugs !! Lakini wewe umekubuhu kwa UBAGUZI !! Yaani umepika chakula kizuri ukakimwagia mchanga!!
Hulka zetu wote hufanana (mwanaadamu hakukamilika) !!!
Zamiluni Zamiluni nimefanya edit, fanya edit nawewe pia uyaondoe hayo maneno. Maana isije kuwa kuna mzungu mswahili humu. Sorry for that.
 
Last edited by a moderator:
hata vipofu wana wenyewe, sembuse m ~mexico! na wewe akikurejea mwambie ushampata mwingine kutoka Venezuela.
 
Back
Top Bottom