Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

Kila chenye mwanzo huwa na mwisho.. Kubali matokeo and move on
imagesq_tbn_ANd9_Gc_SU1_WNHx_Oc9yexo6u0_Xj_L2_Hujs5_Np_IF.jpg
 
Kwetu sisi hilo siyo swali mkuu....

Tunavyojua sisi kila mzungu ana pesa kama majani na hakuna mzungu masikini.....

Mie mwenyewe sijabadilika kwenye bichwa pamoja na kuwaona homeless kibao wakipigwa baridi.... May be hao wamerogwa...

Tangu lini mzungu akawa masikini bwana???

Mkuu ndo maana sisi hata 'tukiwa wasomi' bado usomi wetu una hitilafu
 
Mkuu ndo maana sisi hata 'tukiwa wasomi' bado usomi wetu una hitilafu

Umenikumbusha kitu mkuu....

Nasikia hata tushike dini namna gani bado tunaendekeza ushirikina...lol!!

Ila ukweli ni kwamba kuna mambo na imani tumeshikamana navyo kiasi kwamba ni vigumu kuviweka kando!

Basi naombeni msaada na mimi nipate "Mzungu" wa kula naye pensheni!
 
vumilia tu kipindi hiki jamaa akiondoka kudadeki akikupa mbunye isugue ile kisela mpk iwe nyekundu akikisha unatumia style zote mpk kesho yake ashindwe kwenda job yaani unaakikisha akifikiria ngono mtu wa kwanza kumuona kichwani kwake uwe wewe jisumbue mzigoni yaani kukuruka mpk mwili unauma. Mbona dawa yao ndogo tu hao wala usiwe na wivu nae wewe suguka tu mpk awe anakusaka mwenyewe
 
Wakuu nawasalim wote,

Takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki Mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
Na nikawaeleza kuwa tumekua tukitoka outing na kufanya vitu vingi kama wapenzi, kiasi kuwa kazini watu wakadhan nimeshamlamba mmexico
Naomba mrejee habari hiyo

Wengi wenu mlinishauri nisithubutu kumtaka kimapenzi kwamba wazungu wengi ni social sana, nikifanya hivyo naweza haribu kazi ukizingatia ni bosi wangu kazini

Mrejesho wenyewe:-

Nilitii maelekezo yenu sikumtamkia neno lolote kuhusu mapenzi hadi siku moja jumamosi aliponituma nikamchukulie zile burger za bonjour morocco zilizoamia leaders club huwa anazipenda sana.

Niliporudi kwake na burger nilimkuta na taulo tu akijiandaa kwenda kuoga, nilishindwa kujizuia, uchu mkali sana uliniingia, shetani akanishawishi nijilipue, bahati nzuri nilipojilipua akanipokea kwa mikono miwili tukawa tumejuana kimwili.

Nilifurahi sana nikajua nimeshaukata, tuliendelea wiki yote iliyofuata maana alisema alikua na kiu sana siku nyingi hajafanya hivyo

Hata hivyo furaha yangu imekua short lived, siku moja nastukia ananiambia twende airport tukampokee boyfriend wake anakuja kutoka America nilipigwa na butwaa, maana nilijua mm ndio nimeshakua boyfriend wake,

Wana Jf kwa kifupi hilo jitu lake k?

mkuu uache kazi!!!! wa nini?

umeshasema alikuambia mmefanya sababu hajafanya muda mrefu sasa kwani alikuahidi kwamba umekua boyfriend wake?

ww hapo ulikua unampa kampani subii huyo jamaa aondoke km utaendelea usimamie kucha mpaka amsahau huyo mmarecan ila kwa sasa unamlaumu bila sababu

fanya kazi we vipi?
 
Tatizo mzungu haukumgonga inavyotakiwa ....ungempa mashine sawasawa asingekumbuka kwao huyo....kaka umechemka!
 
Kwanza, wa-Mexicano nao ni wazungu? Oh wait...kibongo bongo hata Waarabu ni wazungu. I get it.

Pili, we bana hebu endelea na maisha yako. Kubali tu matokeo kuwa umetumika kama mchepuko, basi.

Hilo nalo ni jambo la kuja kuomba ushauri humu? Mbona liko dhahiri kabisa...

Yani mkuu ngozi nyeusi mi nasemaga kila siku tumelaanika...yani uyu jamaa sijui kabila gani..maana najua wanyakyusa hatupo ivo..wala wachagga am sure haapo ivo,,ata watani wangu wangoni awapo ivo..sijui limbukeni gani wa K**a uyu..yani limepanik afu linataka acha kazi eti kisa k...
 
?......
......
nampenda sana huyu mmexico.

.......Na wanawake wa kiswahili nao nashindwa hata kuwaelewa Jumamosi nimeenda kwa yule demu wangu wa kiswahili ili tuweze Ku reconcile maana kwa karibu miezi miwili hatukua pamoja, cha kushangaza anadai eti amesha move on, yaani mtu miezi 2 umeshapata mpenzi Mpya?
?[/QUOTE]
Mhhhh jamani jamani kwa nini hivyo eti ??????mmexico wako si ulimuona wa maana sasa kwa nini tena jamani.
 
Wakuu nawasalim wote,

Takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki Mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
Na nikawaeleza kuwa tumekua tukitoka outing na kufanya vitu vingi kama wapenzi, kiasi kuwa kazini watu wakadhan nimeshamlamba mmexico
Naomba mrejee habari hiyo

Wengi wenu mlinishauri nisithubutu kumtaka kimapenzi kwamba wazungu wengi ni social sana, nikifanya hivyo naweza haribu kazi ukizingatia ni bosi wangu kazini

Mrejesho wenyewe:-

Nilitii maelekezo yenu sikumtamkia neno lolote kuhusu mapenzi hadi siku moja jumamosi aliponituma nikamchukulie zile burger za bonjour morocco zilizoamia leaders club huwa anazipenda sana.

Niliporudi kwake na burger nilimkuta na taulo tu akijiandaa kwenda kuoga, nilishindwa kujizuia, uchu mkali sana uliniingia, shetani akanishawishi nijilipue, bahati nzuri nilipojilipua akanipokea kwa mikono miwili tukawa tumejuana kimwili.

Nilifurahi sana nikajua nimeshaukata, tuliendelea wiki yote iliyofuata maana alisema alikua na kiu sana siku nyingi hajafanya hivyo

Hata hivyo furaha yangu imekua short lived, siku moja nastukia ananiambia twende airport tukampokee boyfriend wake anakuja kutoka America nilipigwa na butwaa, maana nilijua mm ndio nimeshakua boyfriend wake,

Wana Jf kwa kifupi hilo jitu lake kutoka amerika tangu limekuja sina raha, linakuja kazini kwetu wanabusiana hapo, yule Dada kalitambulisha hilo zungu kazini kwetu, sasa watu wananitazama wanachekea pembeni nimegeuka laughing stock

Juzi jumapili yule bosi wangu ameniita nyumbani kwake nikawakuta kwenye kochi wakiwa wanakumbatiana, surprisingly lile jitu eti linaniambia niwapeleke wakapaone Zanzibar weekend ijayo, dharau kiasi gani hii?

Nashindwa kuleta chokochoko kwa kuwa yule Dada ni bosi wangu, nilitegemea yy ndie awe na busara azuie huyo jamaa asije kwa kuwa tayari yupo tayari na mm lakini ni kama amenipotezea.

Wakati Mara zote tulipokutana alidai mm ndie Fundi kuzidi wengine wote, nashindwa hata kumwelewa.Huu si uhuni kabisa ndugu zangu!!!

Yaani hata kwenda kazini ikifika asubuhi najiuliza Mara mbili mbili, nampenda sana huyu mmexico kumbe nae hajatulia.Na wanawake wa kiswahili nao nashindwa hata kuwaelewa Jumamosi nimeenda kwa yule demu wangu wa kiswahili ili tuweze Ku reconcile maana kwa karibu miezi miwili hatukua pamoja, cha kushangaza anadai eti amesha move on, yaani mtu miezi 2 umeshapata mpenzi Mpya?
Na wakati alikua ananililia kila siku nisimwache

Nimechanganyikiwa sana kwa kweli, nianze tu mchakato wa kutafuta kampuni nyingine nihame pale

Ina maana huyu mzungu hawezi kuona ni jinsi gani ameniumiza? Ina maana hilo jitu lake likiondoka ataendelea tena na mimi au?

Mtu kwa karibu miezi minne tangu kuja kwake nimeacha shughuli zangu zote na kumzungusha yeye na kuwa karibu nae kwa kila hali na hadi kufikia kuwa wapenzi, nimeacha kwenda kwenye shuguli za kijamii, misiba, harusi na kadhalika kwa ajili yake, Leo limekuja hilo jamaa lake hata kunibembeleza tu hamna, hata kunieleza kuhusu hatma yetu hamna.

Can someone help
What should i do?

Hii ni movie ya kihindi star ameuliwa lol! Acha tamaa kumbe ukikuwa na wakwako ukaparamia mmexico! Ina bidi nawewe uwe social 2 kubali matokeo 2.
 
Back
Top Bottom