Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Kwanza, wa-Mexicano nao ni wazungu? Oh wait...kibongo bongo hata Waarabu ni wazungu. I get it.
Pili, we bana hebu endelea na maisha yako. Kubali tu matokeo kuwa umetumika kama mchepuko, basi.
Hilo nalo ni jambo la kuja kuomba ushauri humu? Mbona liko dhahiri kabisa...
Comrade... hata mimi hapa pananichanganya kidogo... Mzungu ni nani? Ni myuropa au ni ngozi yoyote nyeupe yenye jipua likubwa na nywele ndefu??
Je ngozi nyeusi iliyozaliwa Yuropu ni mzungu? Je ngozi nyeupe iliyozaliwa Msoga ni mzungu??
Mzungu ni race? Kwa kimombo mzungu anaitwaje?
Ngoja nikazimue kwanza. Bila nyagi lugha huwa inanipiga chenga sana