Mrejesho: Nipo njia panda

Mrejesho: Nipo njia panda

huwajui wanawake. Ukiwa mchepuko atakuchuuna mpaka ngozi mpaka mfupa uonekane.

Kimbia fasta kaka.
 
Nimeskia hasira ila ndo hivyo tena. Hivi wasichana tuna matatizo gani? Kwa nn kabla hujawa na no less usivunje mahusiano ya nyuma? Kwa nn?

Jamani mahusiano nayapenda ila sijawahi muumiza mtu.kiasi hiki,? Mwaka na nusu? Tuwe na huruma sometimes.
Ubarikiwe sana.
 
Pole sana

Hili lilikuwa halina sababu ya kuja kuomba ushauri, wewe ungeomba tukufariji maana hapo una option moja tu ambayo ni kuachana naye,hiyo ya kuwa mchepuko sio option maana inazidi kuonyesha ni kiasi gani huyo mwanamke hafai.

Kuwa mwanaume piga moyo konde, usimwambie chochote kile endelea na maisha yako. Muda unaponya maumivu, with time u be will fine

NB: usiishi ukitarajia kuwa Mungu atamlipizia au kumuombea Mabaya kwenye huo uhusiano wake maana inaweza isitokee hivyo. Shukuru Mungu kakuepusha na balaa maana humo hamna mke.
 
Tafuta demu mwingine huyo ni Malaya na hana msimamo
Me najitolea nitakutafutia demu mkali.....siku akimuona atajiona loser
 
Heri ya X mass wadau wa jukwaa pendwa la MMU.Tarehe 20 ya mwezi huu nlileta mada hapa jamvin ambayo ni hii

icon1.png
Niko njia panda


Habarini za wekend wadau,

Naombeni mnisaidie kimawazo.umri wang ni miaka 24 ni muajiriwa serikalin huku Dodoma, wilaya ya Mpwapwa,lakini home ni Iringa nina girlfriend wangu ambaye yupo chuo cha RUCO kilichopo iringa, nmedumu naye takribani mwaka mmoja na nusu, ingawa tumepitia changamoto nyingi sana lakini tumeweza kudumu pamoja na hatimaye kusonga mbele.

Siku ya tar 17 alinipigia simu kunijulisha kuwa tarehe 18 ambapo ni siku ya ijumaa ana TEST,,hvo akimaliza hyo test ataangalia utaratibu wa kusafiri ingawa chuo kinafungwa tar 23, aliniambia kuwa atafanya hivo kwa sababu hakutakuwa na mishe yoyote, hivo akiendelea kubaki hapo ataboreka.

Mimi nikaridhia, siku ya jana jioni akanijuza kuwa kesho ambapo ni leo kuwa atasafiri kama alivonijuza mwanzoni na aliniambia kuwa ataondoka na gari ya sa 12, akaniambia kuwa anaenda Dar es salaam kusalimia ndugu ila kwao ni MOSHI mimi nikaridhia, nikamtakia safari njema mida ya saa nne tulifanikiwa kuongea zaidi na kutakiana usiku mwema. PICHA NDO IKAANZA KULIVO KUCHA.

Nlipanga niwah kumuamsha ili awahi hyo gar ya sa 12,lakini nkajikuta nmepitiwa na usingizi.nmekuja kuamka baada ya sa 12 asubuh,ambapo nlishangaa kutokukuta sms wala call ya kunijulisha kama kaondoka ama la.nliamua kumtumia text, kumuomba samahan nanukuu SAMAHANI NMECHELEWA KUAMKA, NLIPITIWA NA USINGIZI HVO KUSHNDWA KUKUAMSHA KWA WAKATI ILI UWAHI GAR, ikapokelewa lakini haikujibiwa nikaamua nitume tena text ya kumtakia safari njema, nayo ikapokelewa lakini haikujibiwa nkaendelea kuvuta subira mpaka mida ya sa tano,lakini bado alikuwa kimya.

Nikaamua nimpigie simu, nimejaribu kama mara 20 kwa kutumia namba yangu ya voda, naambiwa namba busy nikahisi kuwa AMENIBLOCK lakini nikapuuza hilo wazo,nikaamua nitumie tena namba yangu ya Tigo lakini nlipata matokeo yaleyale nliamua kujipa moyo na kuamini kuwa wenda anaongea na simu nyingine nikawa natuma tu sms zinaonyesha deliverd lakini hazijibiwi.

Nimekaa saa moja na nusu nimemtafuta tena lakini matokeo ni yaleyale nikaamua kuingia WHATSAPP nikaangalia namba yake anayotumia humo wasap ambapo mara ya kwanza ilikuwa inaonyesha last seen,status pamoja na profile picture lakini vyote hivo havionekani saivi nikawa bado siamini kuwa AMENIBLOCK ghafla likanijia wazo,la kutaka kufanya confirmation,binafsi wasap natumia namba ya tigo sijawahi badili namba na yeye anafahamu hivo, niliamua kwenda kwenye account yangu ya wasap na kubadili namba, nikaweka namba ya voda halafu nikarefresh nikarudi tena kuangalia ileile namba yake anayotumia wasap maajabu ndugu zangu, nikakuta profile picture ipo kama kawaida na last seen inaonyesha ni saa nane na dkka 50 mchana huu hakika nmejikuta natetemeka,na sijataka kuliamin hili tukio nmekuja kuhakiki kuwa hata namba yangu ya wasap ameiblock pia.

Nisaidieni kimawazo ndugu zanguni, nifanye nini maana kiukweli nashndwa kuamin sijagombana naye zaidi ya changamoto za kawaida katika mahusiano pia sijaelewa kama kasafiri ama laa




YALIYOJIRI

Siku ya jana ya tar 24 mida ya jion yapata sa 12.huyu mtu binti alinibipu...ndpo nliamua kumpigia.maana kusema ukweli,nlizingatia sana ushaur wenu mlio nitaka nisimtafute mpaka yeye atakapo nitafuta.Alipokea cm akiwa na furaha kubwa sana,wala hakuniomba radhi ila akanijuza kuwa lililotokea lilikuwa ni suala lisilo epukika,ilibid aniblock ili nisimuharibie mambo yake,akiwa anaongea kwa kujiamin binafs nlikuwa nmebaki natetemeka nisiamin ninacho kisikia kama ni kweli kinatoka kwa huyu binti ambaye namfahamu na ambaye tumekuwa tukisaidiana katika shda na raha...nkamuuliza,uliogopa nisikuharibie nn?

Akaniambia kuwa,kabla hajawa na mm alikuwa na boy wake ambaye walipendana sana,ila baadae walitofautiana kiitikadi ndpo wakawa separated..akaniambia kuwa siku ananiaga kuwa anaenda kwa ndugu zake Dar,haikuwa hvo ila badala yake huyo ex wake alimuomba wakutane Dar ili wamalize tofaut zao na hatimaye wapate suluhu.ndipo wakakubaliana na ndpo alipo ondoka..na kabla ya kuondoka ndpo alipo amua kuniblock kila sehemu ili mm nisije haribu hyo meeting yao...kwa muda wote binti akiwa anaelezea,alikuwa anaongea kwa kujiamin sana kuliko kawaida.

Mwisho,akaniambia kuwa wamekubaliana kurudiana na hvyo kuanzia huo muda wao ni wapenz tayar,na akaniambia kuwa tangu hyo jumapil ameenda dar,walikuwa wote na ck ya jumatano ndo alienda huko kwa ndugu zake.nlikuwa nahis kutetemeka zaid na nisiweze kuongea lolote,,ila nkajikaza na kuamua kuuliza.vp sasa kuhusu mm na wewe? akaniambia kuwa kaz ni kwako ila mm nmeshakuambia ukweli,na akaniambia pia kama ninahitaj niwe kama mchepuko wake,yeye yupo tayar ila nkae nkijua kuwa ana mtu wake tayar for future...nkamuambia sawa nmekuelewa ili nami nipate nafas ya kutafakar ndpo nkujibu....mpaka sasa hatujawasiliana na kiukweli binafs nmeamua tu iwe mwsho wa uhusiano;sihitaj kuwa mchepuko....asa nmekuja kwenu ili mnishaur..je,nmpotezee kimya kimya? au nami nmuambie kuwa sihitaj kuwa mchepuko na badala yake naye achukue 50 zake? nichaurini jinsi ya kuamua katika hli suala....ila inauma sana ndugu zanguni,omba usikie kwa mtu.,yakikukuta unahisi kuchanganyikiwa,yaan kila kitu unakiona sio cha muhimu kwako,,,yaan haya maumivu nayopitia ni zaid ya kufiwa...nkikumbuka nliwekeza kila kitu kwake,muda,akil na kadhalika....

Natanguliza shukrani zang za dhat kwenu nyote.....karibuni

Mala zote hua hawafiki mbali hurudi na kukuta milango imefungwa,mimi nilisomesha mwanamke from diploma to degree nikiwa nae Ndani hapa jijini Mwanza,alipomaliza na kuajiliwa na serekali ndipo kivumbi kilipoanza,siwezi kuyasema yote hapa ila ilikua ni wakati mgumu hujawahi ona,na mwisho wa siku mimi nikiwa kazini nje ya jiji,niliporudi ijumaa kwa ajili ya week end nyumbani nilikuta kuna nguo zangu tu ndani ktk nyumba ya kupanga,kama mwanaume amini usiamini sikuumia nikajua huyu ni MUNGU kaniepusha na mengi,nikabeba zile begi na kuishia Hotel then nikasonga mbele na maisha,sasa ni miaka mitatu na nimeoa mwanamke mzuri kwangu kuliko alivyokua,hapa nina taklibani msg zake hazipungui hamsini akijutia maamuzi yake na anapita kwa marafiki zangu akiwasihi waniombe nimsamehe.kwa kipindi nisichokua nae nilipooa mke mwingine ktk miaka miwili sasa njia zangu zimekua za baraka hata kutoka kwenye maisha ya kupanga na kua na nyumba yangu na maendeleo mengine,wanaume wote wenye hekima hupenda wanawake watulivu na wasikivu,ndipo baraka za MUNGU huingia ndani ya nyumba,wanawake wameharibiwa na ile hali ya kujiona wamesoma na wanaweza kuendesha maisha zaidi hata ya baadhi ya wanaume,lakini mwanaume atabaki kua mwanaume,kamwe uumbaji wa MUNGU hautabadilika,nikutoe hofu kijana mtoa mada usibabaike muache aende zake na siku akirudi kamwe usimkaribishe,waweza karibisha kifo.wanawake kwa sasa ni wengi kama mchanga,anaemchezea mwanaume hajitambui tu,hua hawaoni mbele wako kama watoto.
 
Aisee mdau pole sana..shit happens..wengi wameshatoa ushauri mzuri wa nini unatakiwa kufanya...you are still young kuwa mchepuko..tena at your age inatakiwa uwe una plan ya maisha yako hii ikiwa mwanamke utakayekuja ishi naye huko mbele...usipoteze muda kufikiria kiasi cha investment ulichofanya kwake..kama ni pesa assume umeibiwa au umepoteza...time heals..ili uweze kuheal fasta kuwa busy na mambo yako ya msingi..then ili uweze kuwa huru zaidi epusha mawasiliano nae maana unaweza kwazika...ni ngumu lkn inakubidi ufanye hivyo...unaweza kuwa ulimpenda sana lkn kumbuka yeye sio mama yako...ukilitambua hilo then u can overcome it..jipe time kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine...unaweza ruka moto ukakanyaga miiba jus kwa kutokuwa careful...zaidi nakupa pole na moyo wa ujasiri katika kutekeleza haya mashauri tuliyokupa..
 
Pole sana.
Kiukweli utakuwa umeumia sana.

TAMBUA MAMBO HAYA.
1/Wasichana wengi sana(Hususani Wanachuo) hujenga uhusiano mpya kila wanapotendwa na wapenzi wao lakini hurudia tena uhusiano wao wa zamani mambo yakitulia. Na hicho ndicho kilichokukuta wewe. The earlier one always is stronger in relationship. Dada amerudi kule alikuanzia kupenda kabla ya wewe kumpata. It is very natural! Na usishangae kabisa mambo yakiharibika tena kule, dada akataka kurudi kwako tena.

2/Mshukuru sana Mungu kwa huyo msichana kukwambia wazi wazi kuwa kwa sasa ana mtu wake na hakuhitaji tena wewe. Tofauti na hapo angekuficha halafu ungeendelea kudanganywa kila siku. Lakini ukichunga vizuri unaweza ukagundua kuwa huenda kabla ya sasa, wakati dada yupo na wewe, bado alikuwa anaendelea na uhusiano na huyo jamaa kisirisiri.

3/Usijaribu kabisa kufikiria kuwa mchepuko wake. It is dangerous kabisa. Kuna alot of issue zinaweza kukupata kama utakubali hilo. Zipo issue za Magonjwa, Mimba za kubambikiwa au kutegewa, Kufumaniwa, kuaibishwa na hata kuharibu mahusiano yako mapya kwa mwingine huko mbele ya safari.

4/Kwa sasa fanya haya na utavuka vyema kabisa.
-Kata kabisa mawasiliano na huyo Dada.
-Kuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu.
-Kuwa karibu na Jamii(Ndugu, Marafiki, Majirani, Wafanyakazi wenzako nk) jaribu kushirikiana nao, kufurahi pamoja nao.
-Keep busy na kufanyakazi, mazoezi, watch movies nk.
-Tulia kabisa katika issue za mahusiano(It will take few month for that a least 3-6month) lengo ni kuiponya kwanza nafsi yako before kuchukua hatua bora za kumtafuta mwingine.

5/Kamwe usijaribu kabisa kufanya haya.
-Kuishi maisha ya Upweke.
-Kutaka kulipiza kisasi.
-Kujifariji kwa kunywa Pombe, kufanya ngono nk.
-Kukata tamaa ya Maisha.
-Kuendelea kujutia upendo uliokuwa nao kwa huyo dada. Take it as lesson rather than a mistake.
-Kutafuta mchepuko.
 
Pole sana mshukuru Mungu kwa kukuonyesha hilo pepo. Hao ndio wale wanaliwa mzigo siku moja kabla ya harusi.
 
Huyo dada ana guts za ajabu, eti uwe mchepuko?

Ina maana kila X wake anaweza kuwa yuko kwenye list ya michepuko, mtakuwa wangapi?
Evelyn Salt huku kuna mrejesho mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Mshukuru sana Mungu wako kwa sababu amekuwa muungwana hadi akakueleza. Siyo jambo rahisi kwa pande zote.

Kazi yako sasa ni moja tu. Kumsahau na kusonga mbele. Ila kwa uzoefu atakutafuta ndani ya miaka isiyozidi 10. Sijui kwa nini huwa tunasahau kuwa "mkataa pema pabaya panamwita.
 
Kakwambia ukweli, achana nae mkuu, ukimng'ang'ania utaumia tu mkuu, move on~angalizo; hawakawiagi kurudi kuja kukuangukia miguuni hao, be careful
 
Mimi ndo maana huwa nawala tigo mademu kama cna akili nzuri, then nawatema.. BILGERT
 
Last edited by a moderator:
Pole, kubaliana na matokeo haikupangwa awe wako na pengine umeepushwa na mengi.

Muombe Mungu atakupa mtu sahihi.
 
BILGERT anachosema Okoyoko nimeshakisikia sana.

Wanasema kama umempenda mwanamke halafu akakutenda kama huyu alivyofanya na bado unampenda sana kwa moyo wako wote mpaka kulala ni shida nasikia ukimla Tigo baada ya kutendwa upendo wote huisha kabisa na unarudia hali ya kawaida.

Tahadhari sijawahi jaribu na sio uende kujaribu.
 
Mahusiano yoyote ni substution reaction,huyo achana naye kabisa tafuta mwingine atakaye kufaaa,
 
Hahaha nacheka sio kwa ubaya lah! Kwasabab haya mapenzi bhana ukijidai una invest kila kitu ikiwemo akili yako yote kwa mwanamke lazma aku let down, me nimeshajifanyia operation na kuondoa nusu ya portion ya upendo moyoni kwahyo i never loved any of those b*tches out there a 100% ... I just love my mama... Cz she is the only woman with true love to me. ..
BtW
Jitahidi kujipenda zaidi connect to your "own person" and jiamini maana now days love is spoiled nigga.. Raise your hands to the sky and forget abt any thing amna kitu kitamu kama kuwa single alafu unajipenda na kujijal afya hutakuwa na mawazo yyte kuhusu mtu yyte .. Just be you forget abt love for a while.
 
Mshukuru sana Mungu wako kwa sababu amekuwa muungwana hadi akakueleza. Siyo jambo rahisi kwa pande zote.

Kazi yako sasa ni moja tu. Kumsahau na kusonga mbele. Ila kwa uzoefu atakutafuta ndani ya miaka isiyozidi 10. Sijui kwa nini huwa tunasahau kuwa "mkataa pema pabaya panamwita.

10 years? Too long, hata kwaka mmoja hapiti inakuwaga jeuri tu huu mda kampata jamaa na wanawake wanaakiri za kuonyesha kipya ni bora zaidi.
 
Pole sana ndugu yangu, mungu kakuepushia magonjwa maana huyo binti anavyo onekana ni kiruka njia.
 
Back
Top Bottom