Pole sana.Time heals yaani mwambie tu ukweli kuwa you are too expensive to be her mchepuko.Mtakie maisha mema na wewe pia move on utapata mwingine wanawake wapo wengi tu na wengine bado wanazaliwa.
Hahah,mkuu ndo ukubwa huooo,pole sana,hakika utakuwa strong sasa,amini utapata msichana wa maana zaidi,unachotakiwa kufanya ni kukubali kuwa mchepuko wake wakati huohuo tafuta mtu wako wa kudumu naye,endelea kuwa naye,then ukishapata mtu wako mpige chini kama alivyokufanya wewe