Mrejesho: Nipo njia panda

Mrejesho: Nipo njia panda

Pole sana. Na mshukuru mungu kwa yote maana hujui kakwepusha nini.
Inaonekana unampenda sana.

Tujifunze kuukubali ukweli, ndo kashaondoka tena. Mtakie tu mafanikio na endelea na maisha yako haikuwa rizki
Samehe kwa yote yalotokea.
 
So sad, mpotezee jijenge tafuta utajiri kisha hutoachwa tena maishani. Hapo hupendwi kaka
 
Pole sana. Na mshukuru mungu kwa yote maana hujui kakwepusha nini.
Inaonekana unampenda sana.

Tujifunze kuukubali ukweli, ndo kashaondoka tena. Mtakie tu mafanikio na endelea na maisha yako haikuwa rizki
Samehe kwa yote yalotokea.

shukrani kwa ushaur wako mkuu
 
pole man. utakuta hakua wako Mungu kakupangia. so shukuru kwa kila jambo.
 
Mkuu jifunze kutokupenda kupita kiasi...huwa inacost sana watu...tafuta mwingine mbona wamejaa sana.
 
Pole ila shukuru kwani hujui Mungu kakuepusha nini Mungu ndie anapanga kila kitu na kashaa kuandalia mwingine ambaye ndio wako wa milele
 
Pole ila shukuru kwani hujui Mungu kakuepusha nini Mungu ndie anapanga kila kitu na kashaa kuandalia mwingine ambaye ndio wako wa milele
 
toka lin dem akawa iringa we Dom bado umuite dem wako unajua wangapi wanambinya apo chuo sembuse uyo nyau wa dar. dem wako ndo yule unaeamka nae kitandani tatizo mnaleta mapenzi ya teremundo kwenye real life
 
wanawake n divyo walivyo mkuu...pole sana...that's why mi hua sipendi kabisa...niliwahi kupoteza fahamu katika situations hizi
 
Haya Ni maisha, kaka kimya kwa afya yako, tulia muache aende.....
 
Bongo movie part two Title Mahaba wazimu.

Haya mkuu kubali matokeo tulia sasa wanawake wako wengi wanasema kibaya hakifatwi !! kizuri ndo kinafatwa , asiyekubal kukataliwa kwenye mapenzi!! Siyo shujaa wa mapenzi.

Ukipata ajali kwenye barabara ya mapenzi na moyo wako unabima usihofu tulia bima ikupe usafiri mwengine sasa ww jifanye ----- utake kufanya repair.

Skikuuu njema mkuu
 
Mkuu jifunze kutokupenda kupita kiasi...huwa inacost sana watu...tafuta mwingine mbona wamejaa sana.

kula "like ya mdomo" mkuu, watu wengi wanafeli katka hli la kumpenda mtu 'mazma mazma' mwisho wa siku ni kilio zaid ya msiba usio na matanga, tujifunze kupenda kwa 'kiasi'
 
Back
Top Bottom