Mrejesho: Nimevunja uchumba wa watu

Mrejesho: Nimevunja uchumba wa watu

Nawaombea wawe na maisha ya amani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unawaombea wakat unadai roho inauma,wakat huo ulitaka kuvunja uchumba mkuu acha dhambi ndogondogo bas ila m namshauri jamaa asioe hyo demu we ndo inabid umuoe
 
OFA:
Tunarusha mawe juu ya bati usiku kucha kwenye nyumba ya Ex wako mpaka ahame, kwa bei nafuu kabisa, na mikoani tunakujaa.....!!
ahahaha

[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyo jamaa mwenye mchumba ana roho ngumu aisee....

Hivi unapata Wapi ujasiri wa kuendelea na ndoa na huyo Kahaba?

Kunguru ni kunguru tu.. Huyo mwanamke anatendelea kutoombwa hata ndani ya ndoa.

Namsikitikia sana jamaa aliyemsamehe na kukubali kumuoa huyo malaya.
Mjomba huwezi kuhukumu kwa kosa moja. Hiyo inaitwa second chance huku tukiamini time will tell.
 
Habari za leo wakuu, Poleni na majukumu pia hongereni kwa kusheherekea vyema Sikukuu ya EID, japo kwangu haikuwa njema sana kutokana na shida nilizopitia.

Juzi nilikuja na Uzi nikiomba msaada nifanye nini juu ya majanga yaliyonikuta
Rejea:-

Leo nimeona Nilete mrejesho wa nini kimefanyika juu ya hili tukio.

Kikao cha Familia ya binti kimekaa leo Saa 4 asubuhi juu ya shauri la jamaa kudai mahari yake.

Watu wenye busara wamekaa na kuongea na kijana kuwa arudishe Moyo na waendelee na Process zao za uchumba kuelekea Ndoa.

Lakini kijana Amekuwa na Roho ngumu ssna kiasi cha kuto kusamehe. Hii ni kwasababu ameniona mara nyingi kwenye simu ya Mchumba wake na amesha muonya mara nyingi lakini binti amekuwa kiziwi, hivyo basi jamaa hawezi kuendelea na huo uchumba hivyo arudishiwe Mahari yake ajue nini cha kufanya.

Pia akaomba kama familia haina uwezo kwa wakati huo watoe chochote Tu hata elfu 10, ili mradi mahari imerudishwa.

Icho kikao mara kikageuga msiba watu karibia wote wakawa wanalia kwa kinachoenda kutokea.

Binti akaitwa kwenye kikao. Nae akawa analia. Akaulizwa kama anampenda jamaa, akasema anampenda sana kwani jamaa hakumpa muda wa kumsikiliza laa sivyo wangeyamaliza. Pia binti akaomba msamaha kwa kuiingiza familia kwenye matatizo.

Jamaa amepigiwa Magoti na mama yake na mama wa binti, ndio amekubali kuendelea na uchumba.

Mida ya saa 8 nimepigiwa simu na Deligation ya kikao nimepewa Onyo kubwa sana juu ya mahusiano yangu na binti. Nimekili sitarudiana naye tena na nimekata mawasiliano naye..

Nikaomba pia niongee na jamaa, nikaongea nae nimemuomba msamaha yeye kama mwanaume mwenzangu. Na jamaa amenisamehe kwa moyo mkunjufu kabisa.

Leo ndio nimeamini kuwa nimeachachana na huyu binti. Roho imeniuma sana maana yeye ndio mwanamke wa Ndoto yangu

Najiona kama nimeanza upya maisha bila huyu binti. Japo sikuwa na nafasi nae sana lakini nilikuwa nina amani.

Napenda kuwashukuru Nyote kwa michango yenu hadi kufikia kulimaliza Suala hili.
Ndio usirudie tena, ukisalimika na balaa moja usitegemee na lijalo pia utasalimika.
Hongera [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa kiongozi
Ndio usirudie tena, ukisalimika na balaa moja usitegemee na lijalo pia utasalimika.
Hongera [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
OFA:
Tunarusha mawe juu ya bati usiku kucha kwenye nyumba ya Ex wako mpaka ahame, kwa bei nafuu kabisa, na mikoani tunakujaa.....!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hili shehe
 
Naumuonea huruma huyo mwanamke, mwanaume gani anakubali kusalitiwa na asamehe....wenye haki ya kusaliti ni wao tu
 
Back
Top Bottom