Dah aisee kuna watu vibudu sijapata kuonaOFA:
Tunarusha mawe juu ya bati usiku kucha kwenye nyumba ya Ex wako mpaka ahame, kwa bei nafuu kabisa, na mikoani tunakujaa.....!!
Kwanza manzi hampendi huu ni uzi kaongeza chumvi tu. Jamaa alikuwa analazimisha, hata huko kuwasiliana nahisi yeye ndiyo mlazimishaji na si binti.We endelea kujisifu tu ujinga, umewaumiza sana ndugu wa mwanamke na mwanaume pia, familia ya mwanaume ilishaanza vikao muda tu na miezi miwili ijayo harusi ilikuwa inafanyika mkoa S. Umevunja vikao mpuuzi wewe kwa tamaa zako za ngono! Unajua umempa mwenzio stress zisizokuwa za kawaida. Unajua ni mipango mingapi umemharibia, unajua gharama na muda aliotumia kutembea mikoa tofauti kuwataarifu ndugu? Unajua gharama za awali za maandalizi alizokuwa ametumia? Unawezaje kwenda Arusha saa 4 za usiku kwa mchumba wa mtu.
Usifikiri wewe ndo wa kwanza kupenda hata sisi kabla tulishakuwa na mademu ilipotokea wameolewa tuliwaacha waendelee na maisha yao. Lakini kwa maelezo yako unajiona kidume kwamba hata akiolewa utaendelea. Ipo siku utakuja kulia kilio kisicho na jina.
Kati ya thread yaliyoniumiza ni pamoja na hii, najenga image kijana mwezangu kajitahidi Hadi maanadalizi ya harusi tayari remain only 60 days ?, muda mwingine mwezangu kajibana hata nguo hanunui/boxer hajanunua anazo za zamani alafu mbumburura anaenda far away kuharibu,Nimekuwekea na meseji ya mwanaume mwenzio ili ujue ni kwa namna gani umemuumiza. Ila hiyo laana haita kuucha hata kama sio kwako itakula watoto wako mpaka vitukuuView attachment 1120816
Ndamko ndalo biswalo, ndendya atukuzwe.
Inaumiza sana mkuu. Halafu jamaa alishafanya maandalizi yote na vikao vilikuwa vinaendelea kwa kasi ya ajabu. Wafanyakazi wenzie walishajipanga, huko mkoa ambao harusi inafanyika shamrashamra zilishaanza, mashangazi na madada kwenye vikundi vyao walikuwa wanakusanya zawadi. Halafu kuna mtu anakuja kujisifu kirahisi tu kuwa nimevunja uchumba wa mtu na kujiona fahari. Ila ajue tu watu wameumia sana.Kati ya thread yaliyoniumiza ni pamoja na hii, najenga image kijana mwezangu kajitahidi Hadi maanadalizi ya harusi tayari remain only 60 days ?, muda mwingine mwezangu kajibana hata nguo hanunui/boxer hajanunua anazo za zamani alafu mbumburura anaenda far away kuharibu,
Ni bora hata mtoto wa kwanza awe wako lakini inavyoonekana jamaa kaacha vimelea vyake vinasubiri kuvirutubiwe, coz jamaa atajitahidi ampe mimba mapema au aoe faster kwa hiyo vya kwake vitakuta vya jama coz vya jamaa vilitangulia at the end of the day mtoto wa kwanza sio wako,mke wako alishagongwa mkibakiza 60 days for marriage, tena kwa stail zote za porn coz jamaa alikuwa anataka afanye ufundi ili amwache mchumba wake akae nae , believes me they did all style kilicho baki wanaenda kufanya tu revision na mchumba wake ,hapo ndipo mwanamke kabutuliwa kwa style zote hata uliosoma Leo internet yeye marudio kwake.
Tununu nkamu utwa ukhoMalafyale utwa masikuu
Inaumiza sana mkuu. Halafu jamaa alishafanya maandalizi yote na vikao vilikuwa vinaendelea kwa kasi ya ajabu. Wafanyakazi wenzie walishajipanga, huko mkoa ambao harusi inafanyika shamrashamra zilishaanza, mashangazi na madada kwenye vikundi vyao walikuwa wanakusanya zawadi. Halafu kuna mtu anakuja kujisifu kirahisi tu kuwa nimevunja uchumba wa mtu na kujiona fahari. Ila ajue tu watu wameumia sana.
Habari za leo wakuu, Poleni na majukumu pia hongereni kwa kusheherekea vyema Sikukuu ya EID, japo kwangu haikuwa njema sana kutokana na shida nilizopitia.
Juzi nilikuja na Uzi nikiomba msaada nifanye nini juu ya majanga yaliyonikuta
Rejea:-
![]()
Nimevunja uchumba wa watu
Habari za eid Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu. Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali...www.jamiiforums.com
Leo nimeona Nilete mrejesho wa nini kimefanyika juu ya hili tukio.
Kikao cha Familia ya binti kimekaa leo Saa 4 asubuhi juu ya shauri la jamaa kudai mahari yake.
Watu wenye busara wamekaa na kuongea na kijana kuwa arudishe Moyo na waendelee na Process zao za uchumba kuelekea Ndoa.
Lakini kijana Amekuwa na Roho ngumu ssna kiasi cha kuto kusamehe. Hii ni kwasababu ameniona mara nyingi kwenye simu ya Mchumba wake na amesha muonya mara nyingi lakini binti amekuwa kiziwi, hivyo basi jamaa hawezi kuendelea na huo uchumba hivyo arudishiwe Mahari yake ajue nini cha kufanya.
Pia akaomba kama familia haina uwezo kwa wakati huo watoe chochote Tu hata elfu 10, ili mradi mahari imerudishwa.
Icho kikao mara kikageuga msiba watu karibia wote wakawa wanalia kwa kinachoenda kutokea.
Binti akaitwa kwenye kikao. Nae akawa analia. Akaulizwa kama anampenda jamaa, akasema anampenda sana kwani jamaa hakumpa muda wa kumsikiliza laa sivyo wangeyamaliza. Pia binti akaomba msamaha kwa kuiingiza familia kwenye matatizo.
Jamaa amepigiwa Magoti na mama yake na mama wa binti, ndio amekubali kuendelea na uchumba.
Mida ya saa 8 nimepigiwa simu na Deligation ya kikao nimepewa Onyo kubwa sana juu ya mahusiano yangu na binti. Nimekili sitarudiana naye tena na nimekata mawasiliano naye..
Nikaomba pia niongee na jamaa, nikaongea nae nimemuomba msamaha yeye kama mwanaume mwenzangu. Na jamaa amenisamehe kwa moyo mkunjufu kabisa.
Leo ndio nimeamini kuwa nimeachachana na huyu binti. Roho imeniuma sana maana yeye ndio mwanamke wa Ndoto yangu
Najiona kama nimeanza upya maisha bila huyu binti. Japo sikuwa na nafasi nae sana lakini nilikuwa nina amani.
Napenda kuwashukuru Nyote kwa michango yenu hadi kufikia kulimaliza Suala hili.
Inaumiza sana mkuu. Halafu jamaa alishafanya maandalizi yote na vikao vilikuwa vinaendelea kwa kasi ya ajabu. Wafanyakazi wenzie walishajipanga, huko mkoa ambao harusi inafanyika shamrashamra zilishaanza, mashangazi na madada kwenye vikundi vyao walikuwa wanakusanya zawadi. Halafu kuna mtu anakuja kujisifu kirahisi tu kuwa nimevunja uchumba wa mtu na kujiona fahari. Ila ajue tu watu wameumia sana.
Ushauri wako unakuja pia kwangu moja kwa moja.Kuna vitu mungu anatuvusha kwa mapenzi yake kwetu,omba sana upate aliye bora zaidi ya huyo bibie.
Pole sana mkuuUshauri wako unakuja pia kwangu moja kwa moja.
Hongera sana!!
You are good man.
Njoo kwangu nikufariji
Dah! kupitia tukio hili jifunze kutokua king'ang'anizi kwenye mapenzi kisa una tupesa twa mboga
Ningekua mimi NINGEKUNYONYA MAVI hakyanani!
Siez kukupongeza kwa lolote na hyo bibie akili hamna ngekuwa hyo kijana mm ngekataa tu na hao walojifanya kumpigia magoti watahadithia mbelen
Jamn hyo dada anajitaftia matatizo n bora uchumba uvunjike kuliko anachoenda kukutana nacho kwenye hyo ndoa atajuta kaka mwenyewe amekubali kwa sababu ya magoti ya mama ake hv hata ungekuwa ww mtu ulishamtahadharisha ila hasikii inamaana hyo anafaa kwel kuwa mwanamke?kwanza hyo mwanamke n kilaza hafai hata kuolewa