Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Wakuu, habari zenu...

Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea..

Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out, hanaga gharama kabisa, na simzuii yeye kuitafuna cent yangu, lah!

Nilielezea ukubwa wa mapenz yake na vile asivyopenda makuu,.. Ana sifa zote na sikosi chochote na wakati wowote kwake, lakini hapendi matumizi makubwa...

Nilipoleta hapa furaha na sifa za huyo demu wangu, wengi wakasema, sijiongezi,.. Mara kitonga, wengine ananivizia anilipue,.. Nikayachukua nikayafanyia Kazi nisije nikampoteza mtamu huyu...

Hot Friday jion, nikawa nae maeneo mazuri saana, nimpe uhuru wa kujiachia, lakini kaishia kula pizza tu na juice... Nikaona isiwe tabu, nikaona busara ile pesa ambayo niliitenga weekend kwa ajili yake, nimpe awe huru kwa matumizi ayatakayo mwenyewe...

Ajabu sana;... Ile pesa kaenda shopping bhana, kakusanya zawadi na Jana jioni kaniletea aliponitembelea home, .. Kaniambia Ile pesa nilompa ndio kaamua kununua zawadi!
Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!

Ila ninachoamini mimi, ni mapenz tu, nimebahatika,.... Au niendelee kuchukua tahadhari?
 
Huyo demu anakusubiri uingie mazima akupulize
 
Wakuu, habari zenu...
Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea....
Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out, hanaga gharama kabisa, na simzuii yeye kuitafuna cent yangu, lah!
Nilielezea ukubwa wa mapenz yake na vile asivyopenda makuu,.. Ana sifa zote na sikosi chochote na wakati wowote kwake, lakini hapendi matumizi makubwa...
Nilipoleta hapa furaha na sifa za huyo demu wangu, wengi wakasema, sijiongezi,.. Mara kitonga, wengine ananivizia anilipue,.. Nikayachukua nikayafanyia Kazi nisije nikampoteza mtamu huyu...
Hot Friday jion, nikawa nae maeneo mazuri saana, nimpe uhuru wa kujiachia, lakini kaishia kula pizza tu na juice... Nikaona isiwe tabu, nikaona busara ile pesa ambayo niliitenga weekend kwa ajili yake, nimpe awe huru kwa matumizi ayatakayo mwenyewe...
Ajabu sana;... Ile pesa kaenda shopping bhana, kakusanya zawadi na Jana jioni kaniletea aliponitembelea home, .. Kaniambia Ile pesa nilompa ndio kaamua kununua zawadi!
Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!
Ila ninachoamini mimi, ni mapenz tu, nimebahatika,.... Au niendelee kuchukua tahadhali?
muamini mkuu, ila nawe as a man tambua wajibu usiegemee upande huo basi ndo usiwajibike, mgharamie, tenga bubget yake, fika pale kamba yako inapofika.
 
nadhani nilikuuloza mkuu ina muda nae gani.ila ngoja tu
 
Mkuu unafikiri kwa baadhi ya wasichana ama wanaume wenye wivu watakushauri jema? Watakuambia anakuvizia akulipue mara anakusuubir uingie mazima akuzime..

Endelea kumuomba Mungu wako na pia mheshimu na umpende anaonekana ni mschana anaejitambua. Mkuu kuna msemo unasema " you will never know what you have until its gone" sasa huu msemo utafakari sana.

What goes around always comes around
 
muamini mkuu, ila nawe as a man tambua wajibu usiegemee upande huo basi ndo usiwajibike, mgharamie, tenga bubget yake, fika pale kamba yako inapofika.
Kwani unafikiri sifanyi mkuu... Dogo mwenyewe tu
 
Mkuu unafikiri kwa baadhi ya wasichana ama wanaume wenye wivu watakushauri jema? Watakuambia anakuvizia akulipue mara anakusuubir uingie mazima akuzime..Endelea kumuomba Mungu wako na pia mheshimu na umpende anaonekana ni mschana anaejitambua. Mkuu kuna msemo unasema " you will never know what you have until its gone" sasa huu msemo utafakari sana.

What goes around always comes around
Asante sana mkuu,... Nimeichukua hiyo!.. Maana jamaa wanajijaza hofu kila kukicha mazee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom