Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,904
Asante mkuu .Ubarikiwe
nipe link ya mtandao ulionunulia gari plz
Asante mkuu .Ubarikiwe
Ni tradecarviewnipe link ya mtandao ulionunulia gari plz
Ni tradecarview
Mkuu
Hongera mkuu, lazima akosolewe kama analeta matango pori hapaAmejichanganya na amekuchanganya wewe,huoni watu wenye uelewa mdogo wanaweza kukubaliana na alichokisema huyu aliyenunua gari/anaye-promote biashara yake?.Au ubishi wa mchana usiku usingizi wa mang'amu ng'amu?
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Mkuu nikiagiza pikipiki mpya kutoka India, nitakutana na swala la ukaguzi pia?Huyu jamaa alifungua uzi wakati anaagiza Singapore. Alitaka kujua inakuwaje kwenye suala la ukaguzi wakati TBS hawana agent Singapore.
Tukamfahamisha gari itakaguliwa na NIT ambao wamepewa zabuni na TBS kufanya ukaguzi hapa Tz. Ndio gari imefika na gharama za ukaguzi ndio hio 350,000/-
Hongera kwa kutangaza show room yako.Lakini ni kama utatuingiza boya.Gari ilishafika na umelipia 350000,halafu unasema umelipia $4400,hii 350000 nini?Ni shilingi ya Tanzania au Kenya,Paunds,Kwacha,Rupia,Dola ya Zimbabwe au Kimarekani,Rupia,Nira,Mitkasi,Kroner n.k au?Kuwa serious unapo- promote biashara yako ya magari mbele ya waelewa zaidi yako.Wewe in mmiliki, dalali,karani au ndugu ya mmiliki,dalali au karani?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Sifahamu boss.Mkuu nikiagiza pikipiki mpya kutoka India, nitakutana na swala la ukaguzi pia?
Huwa nina kamtindo ka kuagiza bidhaa kutoka nje. Leo napitia hii website ya TBS nifahamu zaidi.Sifahamu boss.
Jamaa wanasumbua sana. Hata sehemu walizoweka SGS wanasumbua sana.Huwa nina kamtindo ka kuagiza bidhaa kutoka nje. Leo napitia hii website ya TBS nifahamu zaidi.
Wana mawakala watatu. SGS, BV na CCIC. Kama una mzigo wa zaidi ya $5000 lazima uwe inspected pre-shipment.Jamaa wanasumbua sana. Hata sehemu walizoweka SGS wanasumbua sana.
Uwepo wa Yesu umeijaza Dunia nzima...Yesu anapatikana Marangu Mamba? Nakuja fasta kumshuhudia
Mkuu nikiagiza pikipiki mpya kutoka India, nitakutana na swala la ukaguzi pia?
Asante mkuu.gari mpya na pikipiki mpya TBS hawahusiki
.....ni kweli ansyoyasema. Mie nilitozwa British pound 300 hapo NIT kwa ukaguzi wa navaraBoss hiyo Ni inspection fee tuu
Maana Singapore hawana Ajent wa TBS INABIDI WAJE KUFANYIA HAPA BONGO NAOMBA UNIELEWE MKUU
Wabongo kwa kukosoa hamjambo, wengine wanachangana na wivu, Ni kweli jina la suzuki escudo ni la zamani lakini huoni hiyo gari ni new modelHongera sana
Ndio..wana gari nzuri sana..Hivi Singapore nao ni Right-hand-drive kweli?
Ndio..wana gari nzuri sana..